Vitabu vya wanasiasa wa Tanzania ni aibu tupu.Tatizo kubwa la uandishi wa vitabu vya wana siasa ni ku edit sana content ili ipendeze kwa Serikali iliopo madarakani, uongo ni mwingi......na ukweli una achwa makusudi, sidhani kama Mwinyi kagusia lile jamba la kushauliwa kumfunga Nyerere, baada ya Nyerere kujutia kumpa madaraka ya uraisi.
Nilitegemea vitabu kama hivyo vibebe mambo ya ndani yaliyotokea kwenye uongozi wao ambayo hatuyajui kabisa lakini naona mengi ni yale yaliyokuwa wazi. Kusema Mrema na Mtikila walimsumbua hilo lilijulikana na siyo jipya.Kitabu cha hovyo kimejaa mipasho ya taarabu hata bure sitaki tena
Asante sana. Mimi wala sijihangaishi kusoma.Tatizo kubwa la uandishi wa vitabu vya wana siasa ni ku edit sana content ili ipendeze kwa Serikali iliopo madarakani, uongo ni mwingi......na ukweli una achwa makusudi, sidhani kama Mwinyi kagusia lile jamba la kushauliwa kumfunga Nyerere, baada ya Nyerere kujutia kumpa madaraka ya uraisi.
Kitabu cha Mkapa kilikuwa na mambo ya msingi na siyo hii mipashoNilitegemea vitabu kama hivyo vibebe mambo ya ndani yaliyotokea kwenye uongozi wao ambayo hatuyajui kabisa lakini naona mengi ni yale yaliyokuwa wazi. Kusema Mrema na Mtikila walimsumbua hilo lilijulikana na siyo jipya.
Mfano mzuri wa hilo unalolisema ni kitabu cha Mkapa.Nilitegemea vitabu kama hivyo vibebe mambo ya ndani yaliyotokea kwenye uongozi wao ambayo hatuyajui kabisa lakini naona mengi ni yale yaliyokuwa wazi. Kusema Mrema na Mtikila walimsumbua hilo lilijulikana na siyo jipya.
RIP Rev. Mtikila, we will remember you foreverna aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila.
Nifafanulie hapo mkuuHivi Mwinyi hakupata shida kutoka kwa Nyerere?
Ndio maana nimemuita mbaguzi wa rangi.Magabachori walipata shida kipindi cha Mchungaji Mtikila.
Ukweli ni kuwa " the buck stops with the President". Badala ya kuona kama anaonewa, alitakiwa kufanyia kazi malalamiko ya wakina Mtikila. Ni kama vile Mkapa alipokabidhi Chuo cha Serikali ili kiwe cha waislamu ili kupunguza pengo lililopo kielimu kati ya wamisheni na waislamu. Au Nyerere alipomkemea Iddi Amin alipowatimua raia wa Uganda wenye asili ya kihindi.Kwahiyo hapa tuseme ni Mwinyi ndio alikuwa mdini au Kigoma Malima? naona hapa unamaanisha Mwinyi alilaumiwa na Mtikila kwa udini kwasababu ya matendo ya Kigoma Malima akiwa waziri wa elimu.
Kuhusu tuhuma za Mtikila kuwa mbaguzi wa rangi nakubaliana nawe, kipindi fulani alifanya neno "gabachori" ukawa msemo maarufu sana.
Mtikila was a great man.Mtikila alitaka serikali ya Tanganyika, wanzanzibari ni foreigners, kuongozwa na wazenji ni kuongozwa na wageni, katika moja ya speech yake alisema,. " Naanza kwa kuikiri Sheria ya Mungu aliyomwambia Musa, Mgeni asitawale Kati yako..."