Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

Utaratibu wa Namba kwenye mitihani ulianza wakati wa Malima kabla ya hapo haukuwepo hivyo umepotosha
 
Utaratibu wa Namba kwenye mitihani ulianza wakati wa Malima kabla ya hapo haukuwepo hivyo umepotosha
Nakumbuka vizuri sana kuwa tulipewa namba kwenye mtihani wa sekondari. Na nilisoma kabla ya Malima kuwa waziri wa elimu.

Amandla...
 
Nani aliekwambia Hapo kamhukumu,hiyo ni historia ya safari yake na hayo mambo yalitokea na wala mpaka Maalim anafariki walikuwa hawana ugomvi na mwingi
Sijasema kama yeyé kamhukumu, ila JAMII itasema Maalim ni msaliti (je si hukumu huyó?), Je atajiteteaje wakati keshatangulia safari ya kila mmoja na ya lazima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…