lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
China keshapigana na Japan,USA kutokana VA vita ya korea na pia Urusi na vi nchi vingine.anyway,
hapa duniani kwa sasa ni nchi mbili tu ndio zina uwezo mkubwa kijeshi, na kijasusi..... Russia na US...... hawa wana uwezo, uzoefu na ujuzi wa kila mbinu kwenye uwanja wa vita!
akina China bado sana, sijui itachukua miaka mingapi maana hajawahi pigana vita hata moja
Wako vizuri sana kiujasusi.sema muda haujafika TU wa kujulikana ujasusi wao.