Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

anyway,
hapa duniani kwa sasa ni nchi mbili tu ndio zina uwezo mkubwa kijeshi, na kijasusi..... Russia na US...... hawa wana uwezo, uzoefu na ujuzi wa kila mbinu kwenye uwanja wa vita!

akina China bado sana, sijui itachukua miaka mingapi maana hajawahi pigana vita hata moja
China keshapigana na Japan,USA kutokana VA vita ya korea na pia Urusi na vi nchi vingine.
Wako vizuri sana kiujasusi.sema muda haujafika TU wa kujulikana ujasusi wao.
 
Nuland ashajiuzuru?
Siku kama tatu zilizopita tarehe 5 March 2024 kulikuwa na taarifa rasmi Victoria Nuland atajiuzuru majuma machache yajayo (few weeks to come).
Imeelezwa hivyo katika taarifa rasmi iliyotolewa na Secretary of State Antony Blinken.
 
Back
Top Bottom