Uchambuzi: Kwanini Simba inashinda sana mechi zisizo na umuhimu

Fainali ni fainali mkuu..... don't compare it with Robo
Robo fainali dhidi ya Ahly, Wydad,Mamelod, Esperance au Raja, ni kubwa mara 100 kuliko fanali na USMA.

Njooni mtambe kuhusu waarabu baada ya kuwafunga huku CAFCL sio huo uchochoroni.
 
Simba lini aliwahi shinda Kwa waarabu
Waarabu wanaokaribia kushuka daraja! Simba huwa inakutana na Waarabu ambao ni mabingwa watetezi au wanaokuja kuwa mabingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…