Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Robo fainali dhidi ya Ahly, Wydad,Mamelod, Esperance au Raja, ni kubwa mara 100 kuliko fanali na USMA.Fainali ni fainali mkuu..... don't compare it with Robo
Waarabu wanaokaribia kushuka daraja! Simba huwa inakutana na Waarabu ambao ni mabingwa watetezi au wanaokuja kuwa mabingwa wa Kombe la Klabu Bingwa AfrikaSimba lini aliwahi shinda Kwa waarabu
Kifo ni popote, ufie ugenini au nyumbani. Ninyi mlichagua kufia nyumbani!Simba lini aliwahi shinda Kwa waarabu