Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Bongo ni kubwa mkuu.....but Samata Ali perform vizuri Congo kuliko ulayaUmesema Ligi ndogo haijawai kutoa mtu mzuri. Amekupa mfano Samatta alitokea ligi (ndogo) ya Tz akenda kucheza ligi (kubwa) ya Congo akafanya poa, akaenda Belgium akafanya poa