Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Pesa pesa pesaIla katika suala walilonisikitisha Simba SC ni kutomsajili huyu Mwamba Jean Baleke. Imekuwaje wameshindwa kumsajili wakati kulikuwa na clause ya kumnunua kati yao na TP Mazembe, na sasa nimeona kwenye mitandao ameenda kuibukia Raja Casablanca. Dah nimesikitika sana. Jamaa alikuwa anajua, hasa nikikumbuka mechi ya mkondo wa pili ya mwaka 2022/23 alivyowasumbua mabeki wa Yanga. Vilevile, alivyoiwezesha Simba SC kuwa bora kwa kipindi kifupi.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app