Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

Umesema Ligi ndogo haijawai kutoa mtu mzuri. Amekupa mfano Samatta alitokea ligi (ndogo) ya Tz akenda kucheza ligi (kubwa) ya Congo akafanya poa, akaenda Belgium akafanya poa
Bongo ni kubwa mkuu.....but Samata Ali perform vizuri Congo kuliko ulaya
 
Vp Kwa sarpong aliyekiwasha pale Kwa kagame
 
Wakati mnakamata mkia kwenye kundi lenu CAFcc hawa rayon sport si ndio waliowapiga za uso huko Rwanda na mkaambulia sare hapa Tz kwa Mkapa?
 
Asante sana, well said, hunaga baya mtani
 
Leo nimekupa like mtani
 
We ni miongoni mwa mashabiki wanaojua mpira huko utopoloni .Hongera zako.Japo wakati mwingine huwa unajizima data kwa makusudi
 
Kikawaida HUWEZI KUBALI USAJILI WA SIMBA,so kazi kwenu kusema yoooote mkimaliza tukutane msimu ujao.
 
Ya kibabe sana hii[emoji1666][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Una dalili ya roho mbaya We Jamaa, 😡😡😡😡
Roho mbaya na ujuaji wakizamani.Anashindwa kuelewa kwamba mpira ni kazi tu,na hakunaga mchezaji mbaya bali mazingira ya ofisi ndiyo ambayo yanakua changamoto kwa baadhi ya wachezaji.sio kila mchezaji anaweza akacheza kwenye kila mazingira kwakiwango kile kile.Kwahiyo nivizur tuupe muda nafasi.
 
Kikawaida HUWEZI KUBALI USAJILI WA SIMBA,so kazi kwenu kusema yoooote mkimaliza tukutane msimu ujao.
Ila katika suala walilonisikitisha Simba SC ni kutomsajili huyu Mwamba Jean Baleke. Imekuwaje wameshindwa kumsajili wakati kulikuwa na clause ya kumnunua kati yao na TP Mazembe, na sasa nimeona kwenye mitandao ameenda kuibukia Raja Casablanca. Dah nimesikitika sana. Jamaa alikuwa anajua, hasa nikikumbuka mechi ya mkondo wa pili ya mwaka 2022/23 alivyowasumbua mabeki wa Yanga. Vilevile, alivyoiwezesha Simba SC kuwa bora kwa kipindi kifupi.
 
Simba kusajili garasa ilitakiwa ndio iwe furaha yenu sasa nyie uto mnaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…