Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

Pesa pesa pesa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
HAWA WAMECHEZA LIGI YA RWANDA

PATRIC MAFISANGO.

HAROON NYONZIMA.

MBUYU TWITE.

FICHA UJINGA KABWILI FC.
UTOPOLO WEWE.
CHLZI WE
 
Yaani kwa Rwanda angalau mchezaji atoke APR kama Niyonzima na Twite lakin Rayon ambayo kila mwaka imejitahidi ni Nafasi ya pili ni bomu tu.
Wachezaji wawili wamesajiliwa na Yanga kutoka Kawowo FC ya ligi ya Uganda, na sasa wapo kambini na timu huko Malawi. Kumbuka, msemaji wa Yanga ametamka kwamba Yanga imeshafunga usajili
 
haya maneno ya simba au yanga imepigwa hayafai
 
Mleta mada una ushabiki wa hovyo tu na hausimami kama mwanasoka, ifike muda mjifunze soka muache uzuzu wa kushabikia Simba na Yanga kwa kujitoa ufahamu.

Fikra zako ni za hovyo sana, Salomon Kalou ni mchezaji mkubwa na amecheza EPL lakini hata kule Djibouti kwa sasa hana maajabu. Soka pia linaangalia umri na siyo ukubwa wa ligi tu.

Halafu tambua mchezaji hutengenezwa pia.
 
Sawadogo na Mzungu 😁
 
Wachezaji wawili wamesajiliwa na Yanga kutoka Kawowo FC ya ligi ya Uganda, na sasa wapo kambini na timu huko Malawi. Kumbuka, msemaji wa Yanga ametamka kwamba Yanga imeshafunga usajili
Wanafanya trial
 
Hutengezwa akiwa na umri gan???
 
SIJAWAHI KUONA JITU TAHIRAA KIASI HIKI.

PATRIC MAFISANGO ALIWANYUKA 5-0.

HARUNA NYONZIMA.

MBUYU TWITE

HAWA WOYE WAMECHEZA RWANDA INAMAANA WALIKUWA WABOVU?????

Mashabiki WA Yanga wenye akili ni wawili tu.

WEWE NI JUHAA....
 
Mkumbushe mwaka KRC Genk wanabeba ubingwa wa Belgium popa alikuwa top scorer wa ligi alitungiwa hadi nyimbo na mashabiki wa Genk.
Hilo popoma halijui chochote, linaleta mabishano yasiyo na tija kabisa!
 
Hamna uchambuzi hapo

Afu leo ndio mnakipiga na wanyakyusa sio?

Mnacheza na timu ya nyumbani kwao Mwakalebela
Yaaah jiandae kushuhudia......kandanda safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…