Uchambuzi: Mambo 10 na kwanini shambulizi la Iran limefanikiwa kwa asilimia 100%

Israel fanya kitu maana wamekupa sababu
 
Hebu tupe credible source of your information, kwa mfano hizo F-35 zilizoteketea kimsboy
 
Irani atapigwa tuu, tujipe muda. Myahudi simkubali ila ni pasua kichwa , hasahau wala hasamehi. Tujipe muda.
 
Kombora limetembea 2000km na likapiga target IRGS wapewe maua yao kwa kweli ..
 
Netanyau na Zeresk ni wajinga Kwa kukubali nchi zao kuwa uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza

Na ndio maana Marekani na uingereza wanapromoti ushoga wanajua mkishakuwa mashoga wanakuamrisheni tu mfanye wanacho taka wao
Kabisa
 
Hizi bangi unazovuta acha.
Acha kijana!!
Iran sio Lebanon wala Syria.
Iran ina millitary capability kubwa kuliko Israel.
Israel imeshapoteza wanajeshi wengi na ina wanajeshi wengi walemavu zaidi ya elfu 70.
Unadhani ni rahisi achukue jeshi apeleke Iran!?
Kwanza atalipitishia wapi!?
Kama wanamgambo elfu 30 wa Hamas wamelitapanya jeshi la Israel unadhani wataweza kupigana na Iran yenye historia ngumu ya vita!??
Acha bangi hizi zinakuharibu akili.
 
Bangi inaleta utu na utulivu..weupo Karne gan kwani ukubwa wajeshi ndo ushindi wavita weuna jua Israeli mtoa roho..anapigana vipi hapo hewani ..akituma ndege zake mbili tu hao Wana mgambo elfu 30 nikitendo chadakika wote jehanam..
Jana kamdunda vzr Iran iyo nikumpa onyo tu silaha zote zaira zime Baki majivu ..Rudi kamfatilie myaudi vzr ujue Yuko vip acha kulishwa matango por huko masjid
 
Aisee naona kama nazungumza na kijana wa balehe.
Umefuatilia vizuri vita za Gaza!?
Israel imepata askari walemavu wa kudumu elfu sabini,na hapo kapigana na Hamas tu ambao ni wanamgambo elfu 30.
Iran ni taifa lenye jeshi kubwa usione USA na UK ni wajinga kuingilia kati Iran anapotaka kushambulia Israel.
Shambulio la May USA,UK na France walisaidia kutungua makombora ya Iran,jiulize Israel angekua peke yake angepatwa na athari gani!?
Unaizungumzia Iran ambayo imewahi kutunishiana misuli hadi na USA miaka ya 1980.
Unaizungumzia Iran ambayo ime survive vita ya miaka nane 1980-1988 na ikaibuka kidedea.

Shambulio la Israel kwa Iran lilikua la kufeli.
Tizama habari acha uzwazwa.

Ongea fact usiropoke tu kama umelishwa usembe.
 
Hii nini sasa..Iran kutunishiana misuli na American ni kawaida ya nchi zenye hulika na magaidi..hapo somaliia yenyewe migambo ya Alishabab..Ina miliki AK 47.lakini inamchimba mkwala marekani..sembuse Irani
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-26-22-54-22-325_com.twitter.android_2.jpg
    161.6 KB · Views: 3
Hii nini sasa..Iran kutunishiana misuli na American ni kawaida ya nchi zenye hulika na magaidi..hapo somaliia yenyewe migambo ya Alishabab..Ina miliki AK 47.lakini inamchimba mkwala marekani..sembuse Irani
Unaleta unconfirmed infos!?
Unazidi kujidhihirisha ni bolizozo.
Iran imeonekana ikidungua hayo mashambulizi huko angani,sasa kama ADS zimeharibiwa yale makombora nani alikua anayadungua mizimu au!??
Ndio maana nasema naongea na toto la balehe.
Iran imewahi kushambulia meli vita ya USA na kukatokea clash baina ya Iran na US navy 1988.
Sijui kama hili unalijua!
Iran imewahi kushambulia kwa kombora kambi ya USA nchini Iraq kwa kulipa kisasi cha Qassem Soleiman.
Ndio maana nikakwambia Iran sio sawa ya Israel.
Israel ambayo vita ya mwaka tu imemmalizia maelfu ya wanajeshi.
 
Kobasi kobasi kobasi..tunawajua kwa ubishi wenu kama kenge mpaka maskio yatoe damu ndo anaskia.. bhs kama Iran kidume kama mnavo jiaminisha akaifute Israeli palekwenyeramani..
kama anaweza sinikanchi kadoogo sana kuliko Tanzania..Afanye kukafuta
 
Kobasi kobasi kobasi..tunawajua kwa ubishi wenu kama kenge mpaka maskio yatoe damu ndo anaskia.. bhs kama Iran kidume kama mnavo jiaminisha akaifute Israeli palekwenyeramani..
kama anaweza sinikanchi kadoogo sana kuliko Tanzania..Afanye kukafuta
Mbona unajihangaisha na maneno ya hapa na pale!?
We nani kakwambia Iran ana haja ya kuifuta Israel!?
Iran anapigania maslahi yake na kulinda taifa lake.
 
T
Mbona unajihangaisha na maneno ya hapa na pale!?
We nani kakwambia Iran ana haja ya kuifuta Israel!?
Iran anapigania maslahi yake na kulinda taifa lake.
Anlinda Taifa lake kwakupitia. Magaidi kule Lebanon na Palestine..kuishambulia Israeli na myaudi hawezi kuwa mnyonge..adundwe afu anyamaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…