Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa kwenye ukame mkubwa mzee, tuache!Hii thread yako ya 30 toka Iran wafanye shanbulizi. Inatosha mkuu kwa leo, pumzika basi mangi. 😀😀😀
Inakusaidia nini sasa?What an amaizing[emoji23]View attachment 3113502
Mwana wa MunguWewe kama nani unasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kombora limetembea 2000km na likapiga target IRGS wapewe maua yao kwa kweli ..Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu
Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya kutosha nchi kama 30 zilienda kumsaidia kuanzia angani, baharini na nchi kavu.
Pili, Iran katumia makombora yenye kasi sana kiasi kwamba ni ngumu kuyadhibiti, kwa mfano, makombora yanasafiri dk 5 tu au dk 10 kitu ambacho sio rahisi kujiandaa kuyadhibiti
Tatu Israel na US wamegundua ikiwa too late sana, tofauti na ilivyotarajiwa maana tungeona walau maandalizi yangekua makubwa
Nne, Mashambulizi yamekua live sana kiasi kwamba ilikua ni ngumu kwa adui kuyaficha,vyombo vya habari vyote,media zilionyesha live vitu vikipenya kama mvua na sitoshangaa wakisema hawajapata madhara na hakukua na shambulio kabisa maana jamaa wanapenda sana kuficha uhalisia
Tano, Ndege zaidi ya 25 za F-35 ndege ghali zaidi zimechomwa kabisa na kuharibiwa,vituo vya kijeshi vingi vimeteketezwa kabisa, i wonder watatuambia hakuna vifo wala majeruhi maana kwa propaganda waisrael ni mashallah
Sita, Waziri mkuu na kiongozi wa nchi kukimbia nchi akikimbia shambulizi ni aibu kubwa sana, hii habari imethibitishwa 100% kuwa Netanyahu kakimbia nchi kwa ndege na kuwaachia mateso raia wake
Saba, Mfumo wa Ulinzi wa Israel imefeli kabisa kuzuia makombora kwani asilimia 90% mpaka 95 ya makombora ya Iran yamepenga kikamilifu,pia mifumo mingi ya ulinzi imeharibiwa vibaya mno.
Nane, Iran walitumia mifumo wa kuhack kuwachanganya viongozi wa Israel,wanajeshi na Raia mfano mifumo ya kutoa taarifa na ving'ora na app za kutoa tahadhari zilionekana zikitoa taarifa za kuchanganya na kukanganya watu kuhusu ujio wa makombora ya Iran.
Tisa, Wengi walitarajia kabisa kuwa shambulizi la Iran litakuja baada ya ijumaa baada kutangazwa kuwa ayatollah atatoa tamko rasmi, hii ilitangazwa ili kuwafanya waisrael na serikali yao idhanie kuwa Iran italipiza labda hadi ayatollah atoe tamko ijumaa au tangazo,lakini hii ilifanywa kuwageuza fikra wawaze ijumaa badala ya kuwaza leo.
Kumi, Shambulizi hili ni ushindi mkubwa kwa Iran na washirika wake kwenye eneo hili shambulizi litaingia kwenye rekodi za dunia kuwa ni operesheni kubwa zaidi dhidi ya Israel kuwahi kufanikiwa zaidi katika historia ya Dunia kwani kurusha makombora halafu yakapenya kwa ufanisi wa Asilimia 90-95 sio jambo dogo kwa nchi iliyo na mifumo mizuri ya anga kama ya Israel
HITIMISHO: Shambulizi hili limeonyesha udhaifu mkubwa wa Israel, Israel imeonekana kama Chui wa karatasi tu (paper tiger) ikimaanisha Israel bila marekani au ulaya hawezi kusavaivu kabisa.
PIA SOMA
- Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
KabisaNetanyau na Zeresk ni wajinga Kwa kukubali nchi zao kuwa uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza
Na ndio maana Marekani na uingereza wanapromoti ushoga wanajua mkishakuwa mashoga wanakuamrisheni tu mfanye wanacho taka wao
Hizi bangi unazovuta acha.Subiri uone huo mziki anaokuja nao myaudi. Tena Iran aombe sana kusiwe naraia aliyekufa, maana Israeli ana cho fanya anasitisha opreshen ya Palestine na ya hezbollaa anarudisha jeshi,ana lituma iran atapigwa juu chini, tyar neta nyau kashaongea na mrusi aondoe watu wake huko Iran na baadhi ya nchi maana ,ana kwenda kuichoma Iran na mafuta yake kaa utulie usikilize huo mziki CD buku
Bangi inaleta utu na utulivu..weupo Karne gan kwani ukubwa wajeshi ndo ushindi wavita weuna jua Israeli mtoa roho..anapigana vipi hapo hewani ..akituma ndege zake mbili tu hao Wana mgambo elfu 30 nikitendo chadakika wote jehanam..Hizi bangi unazovuta acha.
Acha kijana!!
Iran sio Lebanon wala Syria.
Iran ina millitary capability kubwa kuliko Israel.
Israel imeshapoteza wanajeshi wengi na ina wanajeshi wengi walemavu zaidi ya elfu 70.
Unadhani ni rahisi achukue jeshi apeleke Iran!?
Kwanza atalipitishia wapi!?
Kama wanamgambo elfu 30 wa Hamas wamelitapanya jeshi la Israel unadhani wataweza kupigana na Iran yenye historia ngumu ya vita!??
Acha bangi hizi zinakuharibu akili.
Aisee naona kama nazungumza na kijana wa balehe.Bangi inaleta utu na utulivu..weupo Karne gan kwani ukubwa wajeshi ndo ushindi wavita weuna jua Israeli mtoa roho..anapigana vipi hapo hewani ..akituma ndege zake mbili tu hao Wana mgambo elfu 30 nikitendo chadakika wote jehanam..
Jana kamdunda vzr Iran iyo nikumpa onyo tu silaha zote zaira zime Baki majivu ..Rudi kamfatilie myaudi vzr ujue Yuko vip acha kulishwa matango por huko masjid
Hii nini sasa..Iran kutunishiana misuli na American ni kawaida ya nchi zenye hulika na magaidi..hapo somaliia yenyewe migambo ya Alishabab..Ina miliki AK 47.lakini inamchimba mkwala marekani..sembuse IraniAisee naona kama nazungumza na kijana wa balehe.
Umefuatilia vizuri vita za Gaza!?
Israel imepata askari walemavu wa kudumu elfu sabini,na hapo kapigana na Hamas tu ambao ni wanamgambo elfu 30.
Iran ni taifa lenye jeshi kubwa usione USA na UK ni wajinga kuingilia kati Iran anapotaka kushambulia Israel.
Shambulio la May USA,UK na France walisaidia kutungua makombora ya Iran,jiulize Israel angekua peke yake angepatwa na athari gani!?
Unaizungumzia Iran ambayo imewahi kutunishiana misuli hadi na USA miaka ya 1980.
Unaizungumzia Iran ambayo ime survive vita ya miaka nane 1980-1988 na ikaibuka kidedea.
Shambulio la Israel kwa Iran lilikua la kufeli.
Tizama habari acha uzwazwa.
Ongea fact usiropoke tu kama umelishwa usembe.
Unaleta unconfirmed infos!?Hii nini sasa..Iran kutunishiana misuli na American ni kawaida ya nchi zenye hulika na magaidi..hapo somaliia yenyewe migambo ya Alishabab..Ina miliki AK 47.lakini inamchimba mkwala marekani..sembuse Irani
Kobasi kobasi kobasi..tunawajua kwa ubishi wenu kama kenge mpaka maskio yatoe damu ndo anaskia.. bhs kama Iran kidume kama mnavo jiaminisha akaifute Israeli palekwenyeramani..Unaleta unconfirmed infos!?
Unazidi kujidhihirisha ni bolizozo.
Iran imeonekana ikidungua hayo mashambulizi huko angani,sasa kama ADS zimeharibiwa yale makombora nani alikua anayadungua mizimu au!??
Ndio maana nasema naongea na toto la balehe.
Iran imewahi kushambulia meli vita ya USA na kukatokea clash baina ya Iran na US navy 1988.
Sijui kama hili unalijua!
Iran imewahi kushambulia kwa kombora kambi ya USA nchini Iraq kwa kulipa kisasi cha Qassem Soleiman.
Ndio maana nikakwambia Iran sio sawa ya Israel.
Israel ambayo vita ya mwaka tu imemmalizia maelfu ya wanajeshi.
Mbona unajihangaisha na maneno ya hapa na pale!?Kobasi kobasi kobasi..tunawajua kwa ubishi wenu kama kenge mpaka maskio yatoe damu ndo anaskia.. bhs kama Iran kidume kama mnavo jiaminisha akaifute Israeli palekwenyeramani..
kama anaweza sinikanchi kadoogo sana kuliko Tanzania..Afanye kukafuta
Anlinda Taifa lake kwakupitia. Magaidi kule Lebanon na Palestine..kuishambulia Israeli na myaudi hawezi kuwa mnyonge..adundwe afu anyamazeMbona unajihangaisha na maneno ya hapa na pale!?
We nani kakwambia Iran ana haja ya kuifuta Israel!?
Iran anapigania maslahi yake na kulinda taifa lake.