Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

Chanzo cha migogoro Mingi hapo middle East ni Marekani na Washirika wake.
Uongo mtupu kwa waarabu hata wakiachwa wao kwa wao watagombana tu maana wao wanagombana kwa sababu ya itikadi zao marekani siyo tatizo kabisa Ila kwa sababu mbaazi ikinyauka lazima tu kusingiia mvua.
 
Sasa wanakaa vikao meza Moja...
 
IMG_20250421_101417.jpg


Cc : toplemon
 
Kwa akili yako vitani wanaendelea na virungu au mawe? yaani ni kubeba tu na kuondoka kwenda kupigana?
Tokea Iran ajulikane kusapoti Ugaidi umepita miaka mingapi bado hawajawashughulikia ipasavyo kama ambavyo wanashughulikiwa Lebanon, Gaza , Sadam Hussein na Afghanistan enzi hizo ?
 
Tokea Iran ajulikane kusapoti Ugaidi umepita miaka mingapi bado hawajawashughulikia ipasavyo kama ambavyo wanashughulikiwa Lebanon, Gaza , Sadam Hussein na Afghanistan enzi hizo ?
Kushughulikia mtu kijeshi siyo kukurupuka tu kama Magaidi wa Hamas walivyofanya Oct 07,2023 matokeo yake sasa hivi wanalia kilio cha Mbwa-Koko!! Hata magaidi wa Hezbollah kupigwa na israel wao walianza kuishambulia Israel Oct 08,20231 na Majeshi ya Israel yalianza kuwashughulikia ipasavyo Sept,2024 Kuhusu salamu Hussein kupigwa maandalizi yalichukua zaidi ya mwaka akiwa bado yupo Bush Baba sadam hussein kapigwa na Bush Mtoto vivyo hivyo na Afganistan hakupigwa siku hiyo hiyo!!
 
Back
Top Bottom