UCHAMBUZI: Ni kwanini Ruge aliwezana sana na wasanii wachanga na akashindwana na wakongwe

Kwahiyo wakiamua kuachana na ruge kwa nn mziki wao ulikuwa unakufa asa sijaelewa vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hajashituka alicho fanya nikubadilisha tu chupa ila mvinyo ni uleule katoka kwa ruge na kusaga kaenda kwa kusaga ila mambo ni yale yale tusubiri tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliposoma hii mada na 'uchambuzi' huu akinifu ,ilibidi niangalie hili ni jukwaa gani..?nimekosea njia
 
Wabishi

Wanajidai wajuaji

Tamaa zimewajaa

Viburi

Dharau

Kufikiri mawazo ya wengine ni kuwaangusha

Maisha walivyokulia na kulelewa

N.k.
 
Ruge anaendesha business yake kama mfanyabiashara mwingine aki maximize profit kwa kuwalipa kidogo..
Wasanii wote unaowajua walipita kwa Ruge... wakakubali kulipwa kidogo... baadhi yao wakaota mapembe.. wakaona Ruge anawanyonya kwakuwa yeye anakulipa laki 3 kwa Fiesta wakati unakodishwa nje kwa laki 8... unahisi umeibiwa laki 5 na ww ni star mkubwa.. Unasahau kuwa Ruge sio NGO na usipojisikia sepa kafanye yako.....
Wakishamkatalia Ruge then wanagundua nyimbo zao hazipigwi... Ooh kwanini anatubania? Nyambafu mlichanga? Sio NGO
Kumbuka Clouds ndio redio iliyoanza kwa hamasa ya muziki wa vijana
 
Ruge alishika soko la wanamuziki toka nje kama USA kuwaleta TZ...Aliingia mikataba kwa kumtumia Kelvin Twisa ya kupata sponsors za voda na makampuni mengine wakati ukienda mwingine kuomba sponsorship huko kote hupewi..
He got me on that one.....
Kwanini silalamiki? Ni ushindani... kakamata soko la ndani na la nje... kama unaweza tafuta namna zako mwenyewe sio kulialia
 
Hivi Ruge aliwatapeli nini Konki na Jide mbona inaonekana wana hasira naye sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wengi wa bongoflava wanaimba kwa ajili ya kutafuta sifa tu au kujijengea ujiko kwa mademu uchwara wa kiswahili wanaotembea na chupi kwapani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…