kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
- Thread starter
- #21
MamboKamwene [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MamboKamwene [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja!!
Tena ugoro wa kiwango cha mvi za lowasaHuu ni uchambuzi au ugoro??..
Kwahiyo wakiamua kuachana na ruge kwa nn mziki wao ulikuwa unakufa asa sijaelewa vizurAman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe
Msanii mchanga ni rahis sana kuteka akili yake hata akiwa kwenye top, unaweza kumletea demu mkali tu na ukamulipia gest house
Unaweza hata kumlipia ticket ya ndege na kumpa laki mbili kisha akapiga show
Kwake pesa siyo kigezo cha kwanza Ila umarufu, pombe na mademu wakali wenye majina
Kuna line moja ya fidq inasema watakupa pesa ya kula na mafake ladies kisha utaenda zako so why no pamanent artist
Ujanja wa ruge alikuwa anakutumia ukiwa star mchanga hujaijua pesa na ukishituka tu kuwa unaibiwa hivyo unataka ulipwe kulingana na mziki wako anakutema na kukutema mfano king zila na wengine wengi hapo utabak na jina tu maana huna pesa na huna mademu mwisho wa siku mawazo na kuingia kwenye madawa ya kulevya
Msanii mkongwe hataki hela ya kula wala hataki mademu yeye anataka mkwanja na si bla bla
Diamomd kwa Mara ya kwanza walimpa mademu na pesa ya kula lakin aliposhituka na kugundua kuwa hataki hela ya kula wa mademu Bali anataka pesa kila show 10milion hapo ndo kasheshe ilipoanzia
Ugomvi wa diamond na ruge ni mkubwa sana mfano kama ugomvi wa sir God na Satan
Siku zote mtu anayezuia riziki yako na kutaka kukutoa kwenye kiti huwez muelewa hata kidogo
Ndo maana Mungu hampend shetan sababu alitaka kumtoa kwenye kiti cha enzi ili akae yeye
Ni hayo tu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hajashituka alicho fanya nikubadilisha tu chupa ila mvinyo ni uleule katoka kwa ruge na kusaga kaenda kwa kusaga ila mambo ni yale yale tusubiri tuoneAman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe
Msanii mchanga ni rahis sana kuteka akili yake hata akiwa kwenye top, unaweza kumletea demu mkali tu na ukamulipia gest house
Unaweza hata kumlipia ticket ya ndege na kumpa laki mbili kisha akapiga show
Kwake pesa siyo kigezo cha kwanza Ila umarufu, pombe na mademu wakali wenye majina
Kuna line moja ya fidq inasema watakupa pesa ya kula na mafake ladies kisha utaenda zako so why no pamanent artist
Ujanja wa ruge alikuwa anakutumia ukiwa star mchanga hujaijua pesa na ukishituka tu kuwa unaibiwa hivyo unataka ulipwe kulingana na mziki wako anakutema na kukutema mfano king zila na wengine wengi hapo utabak na jina tu maana huna pesa na huna mademu mwisho wa siku mawazo na kuingia kwenye madawa ya kulevya
Msanii mkongwe hataki hela ya kula wala hataki mademu yeye anataka mkwanja na si bla bla
Diamomd kwa Mara ya kwanza walimpa mademu na pesa ya kula lakin aliposhituka na kugundua kuwa hataki hela ya kula wa mademu Bali anataka pesa kila show 10milion hapo ndo kasheshe ilipoanzia
Ugomvi wa diamond na ruge ni mkubwa sana mfano kama ugomvi wa sir God na Satan
Siku zote mtu anayezuia riziki yako na kutaka kukutoa kwenye kiti huwez muelewa hata kidogo
Ndo maana Mungu hampend shetan sababu alitaka kumtoa kwenye kiti cha enzi ili akae yeye
Ni hayo tu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa
Ipi hiyo??
Sasa unataka niiweke waz yaan nimwage mtama kwenye kuku wengiIpi hiyo??
Umesahau ukosefu wa elimu miongoni mwao ni tatizo kubwa sanaWabishi
Wanajidai wajuaji
Tamaa zimewajaa
Viburi
Dharau
Kufikiri mawazo ya wengine ni kuwaangusha
Maisha walivyokulia na kulelewa
N.k.
Aman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe
Msanii mchanga ni rahis sana kuteka akili yake hata akiwa kwenye top, unaweza kumletea demu mkali tu na ukamulipia gest house
Unaweza hata kumlipia ticket ya ndege na kumpa laki mbili kisha akapiga show
Kwake pesa siyo kigezo cha kwanza Ila umarufu, pombe na mademu wakali wenye majina
Kuna line moja ya fidq inasema watakupa pesa ya kula na mafake ladies kisha utaenda zako so why no pamanent artist
Ujanja wa ruge alikuwa anakutumia ukiwa star mchanga hujaijua pesa na ukishituka tu kuwa unaibiwa hivyo unataka ulipwe kulingana na mziki wako anakutema na kukutema mfano king zila na wengine wengi hapo utabak na jina tu maana huna pesa na huna mademu mwisho wa siku mawazo na kuingia kwenye madawa ya kulevya
Msanii mkongwe hataki hela ya kula wala hataki mademu yeye anataka mkwanja na si bla bla
Diamomd kwa Mara ya kwanza walimpa mademu na pesa ya kula lakin aliposhituka na kugundua kuwa hataki hela ya kula wa mademu Bali anataka pesa kila show 10milion hapo ndo kasheshe ilipoanzia
Ugomvi wa diamond na ruge ni mkubwa sana mfano kama ugomvi wa sir God na Satan
Siku zote mtu anayezuia riziki yako na kutaka kukutoa kwenye kiti huwez muelewa hata kidogo
Ndo maana Mungu hampend shetan sababu alitaka kumtoa kwenye kiti cha enzi ili akae yeye
Ni hayo tu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpunga mzeeHivi Ruge aliwatapeli nini Konki na Jide mbona inaonekana wana hasira naye sana?
Sent using Jamii Forums mobile app