Uchambuzi: Sababu za Kwanini Simba atakandwa na Al hly Tripoli Jumapili

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)

1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots on target after 90 minutes [emoji23]

2. Lack of motivation, ukiangalia hata Kwa macho ya kawaida utaona kikosi cha Simba Kiko disorganized Kila mtu anapiga boli Ili mradi liende ...hii itawafanya waarabu watumie makosa kuwakanda makolo

Generally wachezaji wote pale Simba ...ukimtoa Debora .....wote ni magarasa

Hivyo basi matokeo ya Jumapili yatakua kama ifuatavyo

Al ahly tripoli 3.....0 Simba
 
Hapana watashinda, Ile ni timu ndogo sana.
Simba itashinda, tatizo la SIMBA ni kwamba hawana quality ya kuifunga YANGA wala team yoyote iliyopo CAFCL 24/25
 
Mimi mwenyewe nimejikuta kwenye hofu ya kutolewa Sina Raha kabisa
 
Hapana watashinda, Ile ni timu ndogo sana.
Simba itashinda, tatizo la SIMBA ni kwamba hawana quality ya kuifunga YANGA wala team yoyote iliyopo CAFCL 24/25
Safu ya ushambuliaji ya Simba ni butu....

So kwakuwa watatakua uwanja wa nyumbani ...makolo watapaniki ....Kwa kucheza mpira wa kufosi

Hapo ndipo watamuona ...kuwa mabululu si kibu denisi[emoji23]
 
Labani......nasikia umeanza tena ku follow Feitoto... πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…