Uchambuzi: Sababu za Kwanini Simba atakandwa na Al hly Tripoli Jumapili

Ni ngumu Kwa kikosi kile mkuu...ushabiki weka pembeni
Napenda mnavokubali kuwa tripoli sio wepesi ili tukitinga makundi mkubalu kwamba utopolo huwa Wana bahati ya kupitia njia nyepesi tofauti na mnyama mwitu.
 
Yan pale wote ni wabovu ....ila Simba ni wabovu zaid coz mechi ya muhimu hawakupiga hata on target moja
 
Kiukweli Simba wamesajili wachezaji Kwaajili ya ligi ....ila sio kimataifa
sidhani mi nahisi nakocha pia mfumo wake.. mfano game iliyopita simba wamechezewa nusu uwanja! kwa kocha kama gamondi hapendi aina hiyo ya mpira kwasababu ku defence kunaweka risk ya nyinyi kuchezewa ndani ya box na makosa yoyote yanaweza kutokea! refer simba walifanya makosa ya penati ila refa akafunika!.

gamondi hata kama timu ina status kubwa hataki mcheze mfumo huo!,mfumo wa ku defence wa gamondi anachotaka ni mpira uchezewe katikati ama kwenye gori la mpinzani refer mechi na mamelod yanga walionekana kama wanauzira mpira na kuwaachia mamelod waucheze lkn mara nyingi ulikuwa unachezwa mbele na katikati.. ukifika katikati basi wachezaji wa katikati wanahakikisha unarudi juu!!.

nafikiri pamoja na ubora wa wachezaji mfumo wa kocha unamchango mkubwa mno ndio maana ni rahisi kufukuza kocha kuliko mchezaji!! naimani kabisa leo hii gamondi akiamia simba yanga tutapata kazi yaziada kuifunga lkn kama hatatokea kocha atakaekuja kuisoma miundo ya gamondi basi yanga itaendelea kuwa kidedea sana tu yule ni kocha na nusu.
 
Yan pale wote ni wabovu ....ila Simba ni wabovu zaid coz mechi ya muhimu hawakupiga hata on target moja
Hueleweki kama mwanamke Malaya. Mara tripoli wazuri sana mara tripoli wabovu. Hebu kalale kwanza usiku sahivi.
 
Binafsi nampa ushindi Mnyama sio kwa kuwa ni mkubwa ila endapo kocha Davis akiwaheshimu Wapinzani wake basi itakuwa mechi nzuri sana ila akienda na zile kauli za Kwa Mkapa hatoki mtu! Aisee hii mechi ina goli 3+
 
MIMI NI YANGA LIA LIA NA UKOO WANGU WOTE NI YANGA ILA SIMBA NI TIMU KUBWA KULIKO YANGA AL AHLY TRIPOLI WATAPIGWA KAMA NGOMA HATA YANGA TUKIUNGANA NAO BADO WATAPIGWA TU
 
Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)

1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots on target after 90 minutes [emoji23]

2. Lack of motivation, ukiangalia hata Kwa macho ya kawaida utaona kikosi cha Simba Kiko disorganized Kila mtu anapiga boli Ili mradi liende ...hii itawafanya waarabu watumie makosa kuwakanda makolo

Generally wachezaji wote pale Simba ...ukimtoa Debora .....wote ni magarasa

Hivyo basi matokeo ya Jumapili yatakua kama ifuatavyo

Al ahly tripoli 3.....0 Simba
View attachment 3100278
Sawa...
 
Mr kolo.... in short timu Bora zote zipo CAF champions league

Na dio loser cup / kombe la wamama

Note that ....hata huko kombe la wamama Kuna timu mbovu zaidi na mbovu
 
sidhani mi nahisi nakocha pia mfumo wake.. mfano game iliyopita simba wamechezewa nusu uwanja! kwa kocha kama gamondi hapendi aina hiyo ya mpira kwasababu ku defence kunaweka risk ya nyinyi kuchezewa ndani ya box na makosa yoyote yanaweza kutokea! refer simba walifanya makosa ya penati ila refa akafunika!.

gamondi hata kama timu ina status kubwa hataki mcheze mfumo huo!,mfumo wa ku defence wa gamondi anachotaka ni mpira uchezewe katikati ama kwenye gori la mpinzani refer mechi na mamelod yanga walionekana kama wanauzira mpira na kuwaachia mamelod waucheze lkn mara nyingi ulikuwa unachezwa mbele na katikati.. ukifika katikati basi wachezaji wa katikati wanahakikisha unarudi juu!!.

nafikiri pamoja na ubora wa wachezaji mfumo wa kocha unamchango mkubwa mno ndio maana ni rahisi kufukuza kocha kuliko mchezaji!! naimani kabisa leo hii gamondi akiamia simba yanga tutapata kazi yaziada kuifunga lkn kama hatatokea kocha atakaekuja kuisoma miundo ya gamondi basi yanga itaendelea kuwa kidedea sana tu yule ni kocha na nusu.
Sahihi mkuu
 
Binafsi nampa ushindi Mnyama sio kwa kuwa ni mkubwa ila endapo kocha Davis akiwaheshimu Wapinzani wake basi itakuwa mechi nzuri sana ila akienda na zile kauli za Kwa Mkapa hatoki mtu! Aisee hii mechi ina goli 3+
Yaaah Simba atakandwa 3 na al ahly tripoli
 
MIMI NI YANGA LIA LIA NA UKOO WANGU WOTE NI YANGA ILA SIMBA NI TIMU KUBWA KULIKO YANGA AL AHLY TRIPOLI WATAPIGWA KAMA NGOMA HATA YANGA TUKIUNGANA NAO BADO WATAPIGWA TU
Wet dream [emoji23]
 
Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)

1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots on target after 90 minutes [emoji23]

2. Lack of motivation, ukiangalia hata Kwa macho ya kawaida utaona kikosi cha Simba Kiko disorganized Kila mtu anapiga boli Ili mradi liende ...hii itawafanya waarabu watumie makosa kuwakanda makolo

Generally wachezaji wote pale Simba ...ukimtoa Debora .....wote ni magarasa

Hivyo basi matokeo ya Jumapili yatakua kama ifuatavyo

Al ahly tripoli 3.....0 Simba
View attachment 3100278
🤣🤣🤣 dah! Tatzo elimu unaa mm naona unayo tu ya jadi ya urdh waambie Aly tropl waje kinyuma nyuma ndy waifunge Smba
 
Basi na mtoe mbinu za kupangiwa timu chovu chibi zenye mashabiki kumi kila awamu.
 
Back
Top Bottom