Uchambuzi: Sababu za Kwanini Simba atakandwa na Al hly Tripoli Jumapili

Wapigwe kama ngoma Losers Cup basi.
 
Hapana watashinda, Ile ni timu ndogo sana.
Simba itashinda, tatizo la SIMBA ni kwamba hawana quality ya kuifunga YANGA wala team yoyote iliyopo CAFCL 24/25
Unless zilikuwa mbinu za mwalimu kuwafanya waone Simba hawajui mpira,lakini kama ule ndio uchezaji wa timu yangu,siwezi kuwa na matumaini hata kidogo.
Mchezaji anapata mpira anaupiga hovyo bora utoke nje wakati angeweza kupambana awapite mabeki ama awagongeshe mpira utoke nje.
Wachezaji wanashambuliwa lakini wao hawajafanya hata attempt moja ya counter attack.
Kama Kibu bado ni tegemeo kwenye timu,sitarajii miujiza.Kibu hayuko sawa kisaikolojia na hawezi kuwa sawa tena.Kuna dhamiri inamshitaki.Na huenda anaongea na Hersi kwa siri kama hersi anavyofanya kwa wachezaji wengi nyota

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
WEWE NI MAMLUKI WA SIMBA? AU UNA BWANA AKO YUPO YUKO HALAFU UNAJIFANGA YANGA MWENZETU. DAILY WEWE NI SIMBA SIMBA. HATUONI UKIANZISHA NYUZI ZA KUZUNGUMZIA TEAM YETU YA WANANCHI. UPO VERY OBSESSED NA SIMBA. MPAKA TUNAKUTILIA MASHAKA DOGO.
 
Japo watu hawaelewi....ila kitendo Cha kutopiga hata on target moja kilinishangaza sana
 
WEWE NI MAMLUKI WA SIMBA? AU UNA BWANA AKO YUPO YUKO HALAFU UNAJIFANGA YANGA MWENZETU. DAILY WEWE NI SIMBA SIMBA. HATUONI UKIANZISHA NYUZI ZA KUZUNGUMZIA TEAM YETU YA WANANCHI. UPO VERY OBSESSED NA SIMBA. MPAKA TUNAKUTILIA MASHAKA DOGO.
Kuna mambo yanachukiza pale msimbazi .....

Usajili m,bovu Kila msimu

Timu Ina maliza na on target 0....... tuendelee kuisifia??
 
mi naona si kama hawana wachezaji sema mfumo wa kocha ndo shida!
 
Ningependa makolo waende makundii,ila kiukweli Hawana njiaaa.Wale Jamaa wataimaliza mechi ndani ya First Half....Mabululuu
 
Ningependa makolo waende makundii,ila kiukweli Hawana njiaaa.Wale Jamaa wataimaliza mechi ndani ya First Half....Mabululuu
Yaaah coz Simba watacheza Kwa kupaniki ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…