Napenda mnavokubali kuwa tripoli sio wepesi ili tukitinga makundi mkubalu kwamba utopolo huwa Wana bahati ya kupitia njia nyepesi tofauti na mnyama mwitu.Ni ngumu Kwa kikosi kile mkuu...ushabiki weka pembeni
Yaaah coz Simba watacheza Kwa kupaniki ...Ewaaaa,watapigwa misumali ⚽⚽.
Yan pale wote ni wabovu ....ila Simba ni wabovu zaid coz mechi ya muhimu hawakupiga hata on target mojaNapenda mnavokubali kuwa tripoli sio wepesi ili tukitinga makundi mkubalu kwamba utopolo huwa Wana bahati ya kupitia njia nyepesi tofauti na mnyama mwitu.
sidhani mi nahisi nakocha pia mfumo wake.. mfano game iliyopita simba wamechezewa nusu uwanja! kwa kocha kama gamondi hapendi aina hiyo ya mpira kwasababu ku defence kunaweka risk ya nyinyi kuchezewa ndani ya box na makosa yoyote yanaweza kutokea! refer simba walifanya makosa ya penati ila refa akafunika!.Kiukweli Simba wamesajili wachezaji Kwaajili ya ligi ....ila sio kimataifa
Hueleweki kama mwanamke Malaya. Mara tripoli wazuri sana mara tripoli wabovu. Hebu kalale kwanza usiku sahivi.Yan pale wote ni wabovu ....ila Simba ni wabovu zaid coz mechi ya muhimu hawakupiga hata on target moja
Kila la kheri Al Ahly
Sawa...Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)
1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots on target after 90 minutes [emoji23]
2. Lack of motivation, ukiangalia hata Kwa macho ya kawaida utaona kikosi cha Simba Kiko disorganized Kila mtu anapiga boli Ili mradi liende ...hii itawafanya waarabu watumie makosa kuwakanda makolo
Generally wachezaji wote pale Simba ...ukimtoa Debora .....wote ni magarasa
Hivyo basi matokeo ya Jumapili yatakua kama ifuatavyo
Al ahly tripoli 3.....0 Simba
View attachment 3100278
Mr kolo.... in short timu Bora zote zipo CAF champions leagueHueleweki kama mwanamke Malaya. Mara tripoli wazuri sana mara tripoli wabovu. Hebu kalale kwanza usiku sahivi.
Sahihi mkuusidhani mi nahisi nakocha pia mfumo wake.. mfano game iliyopita simba wamechezewa nusu uwanja! kwa kocha kama gamondi hapendi aina hiyo ya mpira kwasababu ku defence kunaweka risk ya nyinyi kuchezewa ndani ya box na makosa yoyote yanaweza kutokea! refer simba walifanya makosa ya penati ila refa akafunika!.
gamondi hata kama timu ina status kubwa hataki mcheze mfumo huo!,mfumo wa ku defence wa gamondi anachotaka ni mpira uchezewe katikati ama kwenye gori la mpinzani refer mechi na mamelod yanga walionekana kama wanauzira mpira na kuwaachia mamelod waucheze lkn mara nyingi ulikuwa unachezwa mbele na katikati.. ukifika katikati basi wachezaji wa katikati wanahakikisha unarudi juu!!.
nafikiri pamoja na ubora wa wachezaji mfumo wa kocha unamchango mkubwa mno ndio maana ni rahisi kufukuza kocha kuliko mchezaji!! naimani kabisa leo hii gamondi akiamia simba yanga tutapata kazi yaziada kuifunga lkn kama hatatokea kocha atakaekuja kuisoma miundo ya gamondi basi yanga itaendelea kuwa kidedea sana tu yule ni kocha na nusu.
Yaaah Simba atakandwa 3 na al ahly tripoliBinafsi nampa ushindi Mnyama sio kwa kuwa ni mkubwa ila endapo kocha Davis akiwaheshimu Wapinzani wake basi itakuwa mechi nzuri sana ila akienda na zile kauli za Kwa Mkapa hatoki mtu! Aisee hii mechi ina goli 3+
Vital o au sio 🤣🤣🤣Mr kolo.... in short timu Bora zote zipo CAF champions league
Na dio loser cup / kombe la wamama
Note that ....hata huko kombe la wamama Kuna timu mbovu zaidi na mbovu
🤣🤣🤣 dah! Tatzo elimu unaa mm naona unayo tu ya jadi ya urdh waambie Aly tropl waje kinyuma nyuma ndy waifunge SmbaWakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)
1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots on target after 90 minutes [emoji23]
2. Lack of motivation, ukiangalia hata Kwa macho ya kawaida utaona kikosi cha Simba Kiko disorganized Kila mtu anapiga boli Ili mradi liende ...hii itawafanya waarabu watumie makosa kuwakanda makolo
Generally wachezaji wote pale Simba ...ukimtoa Debora .....wote ni magarasa
Hivyo basi matokeo ya Jumapili yatakua kama ifuatavyo
Al ahly tripoli 3.....0 Simba
View attachment 3100278