Uchambuzi: Sababu za Kwanini Simba atakandwa na Al hly Tripoli Jumapili

Kitakachowafanya Simba wafungwe ni kauli ya kusema kwa Mkapa hatoki mtu,wataingia na mawazo hayo uwanjani bila kufanya bidii.
 
Simba ni timu ya kawaida ila inajibebesha majukumu ya Al ahly,yote Tisa nawatakia Kila la kheri
 
Kuna mambo yanachukiza pale msimbazi .....

Usajili m,bovu Kila msimu

Timu Ina maliza na on target 0....... tuendelee kuisifia??

MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE. UNAHANGAIKA SANA NA SIMBA KULIKO TEAM YETU YA YANGA. AU KUNA BOYFRIEND WA SIMBA ALIKUTENDA? TUENDELEE NA YANGA YETU.
 
MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE. UNAHANGAIKA SANA NA SIMBA KULIKO TEAM YETU YA YANGA. AU KUNA BOYFRIEND WA SIMBA ALIKUTENDA? TUENDELEE NA YANGA YETU.
Hapana mkuu....Kazi yetu ni kuusemea mpira
 
Mimi naendelea kusisitiza kwamba kwny mechi ya marudiano, simba atumie wachezaji wa zamani kwa uwiano wa 7/4

Nategemea kuwaona ndani akina mzamiru, ngoma, kibu, zimbwe, kapombe, fondo nk

Wachezaji wapya wasizidi wanne kwny lineup itakayoanza..

Kama mwalimu ataendelea kutumia wachezaji wapya kwa uwiano wa 8/3
Simba itafungwa nyumbani.
 
Jamaa angu umeonyesha uchungu sana. Labda uchovu na Hali ya hewa ili changia kucheza ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…