Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

Kuna sehemu sijakubaliana na huyu mchambuzi, pale anaposema eti mossad walitoa hadharani jina la Ashraf Marwan (The angel).
Kwenye hiki kitabu inaonyesha alieanza ku-hint kuhusu jina halisi la the angel ni mwandishi wa vitabu Aharon Bergmann na baadaye mkuu wa kitengo cha ushushushu wa jeshini (Aman) aliyeondolewa kufuatia kupuuzia taarifa ya vita, akathibitishq haradhan kwamba ni kweli the angel alikuwa ashraf marwan.
Kwenye hiki kitabu, hakuna sehem wameonyesha kama hawa walikuwa sehem ya mossad.

 
Ukitulia utaelewa content kwanza kumbuka hiki kitabu ni taarifa za Mosaad ambazo zimekuwa classfied na kutolewa kwa umma,kwa malengo ambayo Mossad tu ndio wanajua
 
Hiki kitabu nimeshakisoma zaidi ya mara tano, na vingine vingi vyenye taarifa hii.

Hoja yangu ni kuwa mwandishi hakusema mossad ndo walilitoa hilo jina hadharani.

Malengo ya kuitoa hii taarifa hadharani yanabaki kuwa classified
Ukitulia utaelewa content kwanza kumbuka hiki kitabu ni taarifa za Mosaad ambazo zimekuwa classfied na kutolewa kwa umma,kwa malengo ambayo Mossad tu ndio wanajua
 
Sasa hivi Mossad naijua kuliko hata TISS
Hahahaha ,kwani hakuna maandishi ya matukio ya hao jamaa
Uyatolee wapi wanafanya matukio kwa uficho sana
Na ndo maana halisi ya Secret Service. Mission na Kazi zake za Kiusalama zinatakiwa zifanyike kwa siri na kificho. Raia wa kawaida hawatakiwi hata kujua hata jina la Secret Service Agency linaitwaje.
Secret Service ikiwa inajulikana na kila mtu na Taarifa zake karibu zote uki-google unazipata basi hiyo sio Secret Service Agency.
🤪
Hata Real Office yao tu haitakiwi kujulikana ipo wapi. Wanatakiwa kuwa na Fake Offices kadhaa ili ku-confuse watu.
Wanatakiwa kufanya kazi chini ya Rais moja kwa moja yaani hata Mawaziri Wengine na Viongozi wengine wa Kiserikali na Kijeshi hawatakiwi kuwajua hawa Secret Service Agency.
Japokuwa wafanyakazi wengi wa Secret Service huwa wamechukuliwa kutoka kwenye Majeshi.
 

Hii wameitolea na movie kabisa.
 
Hiyo SALA yao ipoje, tunaomba maneno yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…