🤣🤣🤣🤣Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Hapana mkuu... it's not a matter of bahati.... football ni sayansi ambayo ukiichambua itakupa majibu sahihiWewe mwana Yanga una gundu sana wengi tunaombea Simba ifungwe ila wewe ndio unatutilia nuksi maombi yetu wana Yanga. Hauna tofauti na OKW BOBAN SUNZU ambaye kila akifungua uzi akinena baya kwa Yanga anaumbuka. Hivyo kama unapenda Simba iwe inafungwa ukaeege kimya na unaanzisha uzi baada ya matokeo. Mwana Yanga wewe una gundu hauna bahati kwenye tabiri zako
Basi mwana Sayansi wewe badili vitendea kazi zako unazotumia kufanya analysis zinakupotosha unatupa majibu ya uongo huku ukijiaminisha ni ukweli upo radhi upigwe ban. Mwisho unakula banHapana mkuu... it's not a matter of bahati.... football ni sayansi ambayo ukiichambua itakupa majibu sahihi
nyamnyam guyWho's this guy
Unaona mbali sana ChiefKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Mkuu....Kuna muda hata calculator inakoseaBasi mwana Sayansi wewe badili vitendea kazi zako unazotumia kufanya analysis zinakupotosha unatupa majibu ya uongo huku ukijiaminisha ni ukweli upo radhi upigwe ban. Mwisho unakula ban
Omba ban na leoHapana mkuu nmefanya uchambuzi mwenyewe