Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.

Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo

1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri

3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa

Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam
1727096854096.jpg
 
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
🤣🤣🤣🤣
Shabiki maandazi usiyejua mpira leo unatoa ahadi gani ?
 
Wewe mwana Yanga una gundu sana wengi tunaombea Simba ifungwe ila wewe ndio unatutilia nuksi maombi yetu wana Yanga. Hauna tofauti na OKW BOBAN SUNZU ambaye kila akifungua uzi akinena baya kwa Yanga anaumbuka. Hivyo kama unapenda Simba iwe inafungwa ukaeege kimya na unaanzisha uzi baada ya matokeo. Mwana Yanga wewe una gundu hauna bahati kwenye tabiri zako
 
Hapana mkuu... it's not a matter of bahati.... football ni sayansi ambayo ukiichambua itakupa majibu sahihi
 
Basi mwana Sayansi wewe badili vitendea kazi zako unazotumia kufanya analysis zinakupotosha unatupa majibu ya uongo huku ukijiaminisha ni ukweli upo radhi upigwe ban. Mwisho unakula ban
 
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.

Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo

1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri

3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa

Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Unaona mbali sana Chief

Ukiendelea hivi very soon utabeba mimba
 
Basi mwana Sayansi wewe badili vitendea kazi zako unazotumia kufanya analysis zinakupotosha unatupa majibu ya uongo huku ukijiaminisha ni ukweli upo radhi upigwe ban. Mwisho unakula ban
Mkuu....Kuna muda hata calculator inakosea
 
Azam wakicheza km walivyocheza Ken GOLD Jana Simba lazima ajambie Moto yaan lazima akalie moto na aache mashusi

Ubashiri : Azam 4-1 Simba

IDD NADO asiwekwe nje narudia kocha wa Azam IDD NADO awekwe ndani ndio mfungaji wa magoli ya leo
 
Back
Top Bottom