Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiona ikipata ushindi nyuma ya AzamKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Endelea kuteseka Tu, This is SIMBAZote offside
kwahiyo wewe na faiza mnapendana? anyway, ni ushabiki wa mpira tu, sio chuki ya kumtakia mtu mabaya. punguza hasira ama la acha kushabikia mpira.Wewe unamchukia Feisal sio Azam ndio maana umekiri mwenyewe chuki yako kwa Azam ni sababu ya Feisal kuchezea Azam, hiyo chuki yako kwa huyu kijana haikusaidii chochote.
Punguza chuki kumbuka Yesu Anakujakwahiyo wewe na faiza mnapendana? anyway, ni ushabiki wa mpira tu, sio chuki ya kumtakia mtu mabaya. punguza hasira ama la acha kushabikia mpira.
Mmeanza kujiliza mapema Sana..Mdogo mdogo Karia atafikiwaZote offside
Nyie watu Pdidy anawatafuta sana huku uraiani.Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani