Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.

Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo

1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri

3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa

Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Njoo utupe ushuhuda kuhusu utabiri wako
 
Labani og kumbe ni mchambaji mzuri tu.
 
Profession ya Ny*ko, mpira hautabiriki kama wachambuzi mnavyojiaminisha

Haya kula chuma hiko
 
Wewe mwana Yanga una gundu sana wengi tunaombea Simba ifungwe ila wewe ndio unatutilia nuksi maombi yetu wana Yanga. Hauna tofauti na OKW BOBAN SUNZU ambaye kila akifungua uzi akinena baya kwa Yanga anaumbuka. Hivyo kama unapenda Simba iwe inafungwa ukaeege kimya na unaanzisha uzi baada ya matokeo. Mwana Yanga wewe una gundu hauna bahati kwenye tabiri zako
Kumbe wanajuana Wana uto
 
Labani og
GCCVPVkWIAAlxKg.jpeg
 
Back
Top Bottom