venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Mdo mdo tutawafikia...ni suala la muda.....Sawa...ila Azam wanawakanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdo mdo tutawafikia...ni suala la muda.....Sawa...ila Azam wanawakanda
Kila kitu kina nafasi yake.Haya Mateam ya Simba na Yanga yamesababisha tuna watu wajinga sana huwezi kuwasikia wanajadili masuala ya maisha au uchumi namna ya kufanya kazi kuboresha tija wao ni Yanga na Simba
Njoo utupe ushuhuda kuhusu utabiri wakoKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Huo uzuri wa Azam uliokuwa unazungumzia hapo ni upi??Azam ni wazuri kuliko Al ahly tripoli mkuu
Jamaa kweli haioni simba sasa kama haioni asemaje sasa.Mzee wa SIIONI SIMBA😅😅😅
Hapana, mi hata sijamkataza kutokuiona😅😅Jamaa kweli haioni simba sasa kama haioni asemaje sasa.
Labani og kumbe ni mchambaji mzuri tu.Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Profession ya Ny*ko, mpira hautabiriki kama wachambuzi mnavyojiaminishaKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Ulimuambia hakusikia na ulisema maneno yake ni gundu 🤣🤣Pole sana...
Hili ni gundu...
Natamani useme tena
Kumbe wanajuana Wana utoWewe mwana Yanga una gundu sana wengi tunaombea Simba ifungwe ila wewe ndio unatutilia nuksi maombi yetu wana Yanga. Hauna tofauti na OKW BOBAN SUNZU ambaye kila akifungua uzi akinena baya kwa Yanga anaumbuka. Hivyo kama unapenda Simba iwe inafungwa ukaeege kimya na unaanzisha uzi baada ya matokeo. Mwana Yanga wewe una gundu hauna bahati kwenye tabiri zako
ItakuaSio kwamba mimba ndio inamsumbua?