Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Not pdidy ila ni mpakwa mafuta na pdidy typing...pdidy typing...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not pdidy ila ni mpakwa mafuta na pdidy typing...pdidy typing...
Hapana mkuu magoli ni ya offsideDaah! Mkuu naona unamfukuzia Muhasibu kwa kuanzisha nyuzi za kukudhuru.
Usijali Mkuu. 🤝Hapana mkuu magoli ni ya offside
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities
Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
Pole sana siku nyingine punguza kubeti against team kubwaBora hata hukuona[emoji23][emoji23] ilikuwa butua butua
Haya, nenda kachambue mchele sasa.Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Wewe unamchukia Feisal sio Azam ndio maana umekiri mwenyewe chuki yako kwa Azam ni sababu ya Feisal kuchezea Azam, hiyo chuki yako kwa huyu kijana haikusaidii chochote.kwahiyo kuichukia azam ni dhambi.
Kwemaaa 🥵🥵🥵🥵Hapana mkuu magoli ni ya offside
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities
Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
if you don't know him, you wouldn't askWho's this guy
Hajafungiwa mpaka saivi huyu.Mashudu matupu....
Sisi hatuna muda wa kujilinganisha na Yanga
Nyie pambaneni kujilinganisha na majayanti...
Simba anaenda kula 4G Kwa Azam
Daaah [emoji23][emoji23]
- Simba anaenda kula 4G Kwa Azam ................................................... ........ X
- Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ............................................... X
- Azam itashambulia sana Ili kupunguza gapes la point.................. X
- Uchawi wa Simba hauvuki bahari ................................................................. X
- Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa...X
- Utabiri wangu FT: Simba 1........3 Azam ........................................................... X
0/6 ... Umekosa zote, hufai kuwa mtabiri wa hali ya hewa
Huyu Aliyepost Ujinga huu , ni Mjinga Mmoja Ambaye Ata Mpira wa Makaratasi au Chandimu ajacheza, Kwa hiyo ni WakumpuunzaTuKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Tunasubiri cAF ranking tunaona Bado uko kimyaHapana mkuu magoli ni ya offside