Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Mke wako ana kazi walai...mwanaume una gubu kwa wanaume wenzio kila siku kuwaombea mabaya...hivi ushaona kuna mwa a Simba anae anzishaga uzi za kipumbavu kama zako?? Sijui una matatizo gani..hunaga content nyingine?
Huyo kenge anatafuta bwana wa kumpiga nao. Sijui kwanini amwombe Mondi ampeleke kwa Puffy Daddy?
 
Huyo Pdiddy ni utopolo mwenzako ambaye naye huwa anafanyia unabii mechi za Simba tu kama wewe unavyofanyia unabii mechi za Simba tu. Ila sema yeye ni mjanja kidogo, huwa hatoi ahadi za kupigwa ban kama matokeo yatakuwa tofauti 😀 😀😀
Ha haaa
 
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.

Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo

1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri

3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa

Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Hakuna timu ya kuifunga Simba kwenye ligi msimu huu.
 
Ni wapemba wachache sana wenye akili
 
AZAM ni timu ndogo sana. na huwa nafurahi sana ikifungwa kwasababu tu feiza toto aliyetetewa na mama kizmkazi anachezea kule. nitakuja kuwaonea huruma akifukuzwa na kule.
 
Kuna kitu hakipo sawa......

Hivi hii Azam ndio inayoikamiaga Yanga au ???[emoji3063][emoji3063][emoji3063]
 
Kuna kitu hakipo sawa......

Hivi hii Azam ndio inayoikamiaga Yanga au ???[emoji3063][emoji3063][emoji3063]
 
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.

Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo

1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri

3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa

Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Pumzika sasa na huu upuuzi wako
 
Leo pia unaomba BAN ya muda gani ikiwa matokeo yakiwa nje ya matarajio yako?
Hathubutu tena huo upuuzi wake
 
Back
Top Bottom