Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mashudu matupu....mkuU Sasa si unaona quality players wanasajiliwa yanga .....kuliko simba
Sisi hatuna muda wa kujilinganisha na Yanga
Nyie pambaneni kujilinganisha na majayanti...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashudu matupu....mkuU Sasa si unaona quality players wanasajiliwa yanga .....kuliko simba
Hahaha sikupi hata uje na mamilioni...😊😊Basi nmeacha....usije shindwa nipa hata mdgo ako nioe[emoji23]
Utakuwa umekatili mdgo ako .....coz spicies zetu hizi .....Zina ng'ang'niwa sana hukuHahaha sikupi hata uje na mamilioni...[emoji4][emoji4]
Sio rahisi kama unavyodhani,we na mabululu wako juzi si mmelala na viatu na ban juuSawa...ila Azam wanawakanda
Azam nao wanaona ni mechi muhimu kupunguza gap la point ....Ili kuwa nafasi ya piliSimba kupoteza mchezo wake dhidi ya azam ni suala gumu.
Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utaelewa ninachokimaanisha.
Simba hajapoteza michezo yake ya NBC wala kudraw, ametoka kucheza na al ahli Tripoli katoka na matokeo ya ushindi kitu ambacho kimezidi kupandisha hari ya timu kuanzia bench la ufundi uongozi wa timu wachezaji na hadi mashabiki wa timu.
Ni ngumu simba kupoteza, ukizingatia kikosi kimeshaanza kujipata, huu mchezo simba atashinda kwa namna yeyote mana hadi sasa azam anajijua kama yeye ni timu bora ila sio mbele ya simba.
Kwa mtazamo wangu wa kikosi cha simba kwa ubora wa wachezaji wake hawalingani na wa azam hata kidogo.
Nukuu maneno yangu, wachezaji wa azam ni watoto mbele ya wachezaji wa simba, nikisema watoto namaanisha watoto wadogo kimpira, ukimpa nado au Saadun jukumu la kuifunga simba unambebesha mzigo mzito asioweza kuuhimili, leo Faisal ataupiga mwingi ila atateseka mno. [emoji23] kuna kiungo anaitwa Deborah Mavambo huyu ni pivot wa dimba.
Nasikia kocha keshabebeshwa mabegi🤓
azam atakula 4 leoKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
kama Azam tu sema ni vile hujajua hiloAl ahly wabovu mkuu
HahahaAzam ni wazuri kuliko Al ahly tripoli mkuu
Huyo Pdiddy ni utopolo mwenzako ambaye naye huwa anafanyia unabii mechi za Simba tu kama wewe unavyofanyia unabii mechi za Simba tu. Ila sema yeye ni mjanja kidogo, huwa hatoi ahadi za kupigwa ban kama matokeo yatakuwa tofauti 😀 😀😀Who's this guy
Una uhakika na haya matokea niweke laki yangu correct score??Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam