Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Umeiona ikipata ushindi nyuma ya Azam
 
Wewe unamchukia Feisal sio Azam ndio maana umekiri mwenyewe chuki yako kwa Azam ni sababu ya Feisal kuchezea Azam, hiyo chuki yako kwa huyu kijana haikusaidii chochote.
kwahiyo wewe na faiza mnapendana? anyway, ni ushabiki wa mpira tu, sio chuki ya kumtakia mtu mabaya. punguza hasira ama la acha kushabikia mpira.
 
Nyie watu Pdidy anawatafuta sana huku uraiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…