Uchambuzi: Simba ikimfunga Yanga nipigwe ban wiki

Unaenda kucheza mwenyewe au wanaume wenzako ndiyo unaamini watakushindia?

Ni ushenzi wa Hali ya juu Mwanaume rijali kutoa ahadi za kijinga kama hizi.
 
Sasa wewe na Tecno spark 8C yako, hiyo nayo ni ban?

Omba ban ya kiume, mwaka mzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…