Mkuu Sasa tusiseme ukweli!!!Tatizo una matamko mengi mkuu, ni kweli Yanga tutashinda lakini uache matamko kama ya Makonda[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini ujipangie muda wa ban na wakati ni usumbufu kila mara unakula ban hausikii.Kwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nipo tayari mkuuKwanini ujipangie muda wa ban na wakati ni usumbufu kila mara unakula ban hausikii.
Moderator , this time please do the needful. Kama adhabu nia yake ni kukomesha. We lima huyu mtu ban ya maana iwe fundisho.
Mtu na akili zako uhangaike kumfukuza mwendawasimu eti kisa amekutukana!! Kwqni unategemea nini kuitoka kwa mwendawazimu!!Kwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ModeratorKwema wakuu

Unamaanisha Nini mkuuMtu na akili zako uhangaike kumfukuza mwendawasimu eti kisa amekutukana!! Kwqni unategemea nini kuitoka kwa mwendawazimu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo alizingua sasaKuna jamaa alikuwa anapenda kusema atatembea uchi/atavua nguo. Sijui alipotelea wapi.NIMWENDO WA KUGARAGARA.
Nakusubiria hiyo kesho.Kwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kichapo kinakuja[emoji23][emoji23]Simba nguvu moja
Sawa Mkuu..... yajayo ynafurahisha Simba watapigwa tu[emoji23][emoji23]Nakusubiria hiyo kesho.