UCHAMBUZI: Tulimsoma vibaya Rais Samia

Then 2025 tume ya uchaguzi itakuwa yako? Afeli asifeli 2025 anashinda asubuhi saa nne.

CCM hata isipofanya uchaguzi inashinda tu
 
Time will tell,
Ila naona kelele nyingi za kutomkubali hazina mashiko, huyu mama amalizie mema ya JPM then aje na yake angalau mawili matatu makubwa atakuwa ametenda zaidi ya inavotakiwa
 
Tatizo ni IQ yake, siyo utu wake.
 
Anaweza akawa amekuzidi mbali sana,
Just analyse her critically achana na majengo ya mtandaoni
Hanifiki hata nusu, siyo bahati mbaya watu wanamdharau toka serikalini, mtaani hadi mtandaoni. By the way hii nchi inaendeshwa na JK .
Na kwa uongozi wake in 2 years ukitoa umaskini tutakuwa na matatizo makubwa ya udini na muungano.
 
We Mama D wewe, huwa unanifurahishaga wakati mwingine.
 
Hanifiki hata nusu, siyo bahati mbaya watu wanamdharau toka serikalini, mtaani hadi mtandaoni. By the way hii nchi inaendeshwa na JK .
Na kwa uongozi wake in 2 years ukitoa umaskini tutakuwa na matatizo makubwa ya udini na muungano.
Ingekuwa Rais wewe kama unamzidi hivo,
It's not by mistake yeye kuwa pale. Anaweza akawa hafanyi vile utakavo,
Ila atakuwa alifanya mengi huko mpaka yeye kufika pale
 
Mimi sina shida na Urais wa hii nchi naongelea ujinga anaofanya aliyeshika hiko kiti. Na hajafanya chochote zaidi ya kupokea kijiti baada ya mwenzake kufa.
 
OK,
Nimekuelewa, kila mtu na perceptions zake.
Niko tofauti inapoanziaga, na mtu muelewa huwa anaagree kutoagree kwa sbb anajua anavoona yy sawa sio lazima kila mtu alone hiyo ndo sahihi,
Next time gombea wewe uraisi ili utilize maono yako
 
Mmeenda kufungua account kwa jina la kiislam ili msijulikane sio?

Mama Samia ni rais mpaka 2030...mtake au msitake!
 
Nikupongeze kwa art ya uandishi.Andiko lilikuwa refu lakini halichoshi,nimelipitia hadi mwisho.Suala siyo SSH,suala ni kwamba mtu akishaapishwa kuwa Rais ogopa ana nguvu siyo za kawaida asikwambie mtu...tu.... tuu.
 
OK,
Nimekuelewa, kila mtu na perceptions zake.
Niko tofauti inapoanziaga, na mtu muelewa huwa anaagree kutoagree kwa sbb anajua anavoona yy sawa sio lazima kila mtu alone hiyo ndo sahihi,
Next time gombea wewe uraisi ili utilize maono yako
Nakubaliana na wewe lets agree to disagree lakini ni ujinga kutoa such petty statements "Next time gombea wewe uraisi ili utilize maono yako".
 
Ni ujinga zaidi wewe kuendeleza kuongozwa kila siku, na kulia Lia tu kwenye mitandao,
2025 am going for MP and mungu akijaaalia 2030/2035 am running for president.

I will try my luck, you should try yours
 
Hanifiki hata nusu, siyo bahati mbaya watu wanamdharau toka serikalini, mtaani hadi mtandaoni. By the way hii nchi inaendeshwa na JK .
Na kwa uongozi wake in 2 years ukitoa umaskini tutakuwa na matatizo makubwa ya udini na muungano.
Nimeishajipanga kupitia mama mwishoni mwa mwaka huu nanunua fuso yangu ya kwanza.
Mama anarudisha pesa kwa raia sisi.
 
Ni ujinga zaidi wewe kuendeleza kuongozwa kila siku, na kulia Lia tu kwenye mitandao,
2025 am going for MP and mungu akijaaalia 2030/2035 am running for president.

I will try my luck, you should try yours
Siasa siyo calling yangu , lakini sijawahi kukwamishwa na mwanasiasa kwenye jambo langu hata siku moja nikashindwa. Hata hivyo nitakuwa mchoyo kama nisipopiga kelele pale viongozi wakifanya maamuzi mabovu yanayoumiza jamii kwa ujumla. Naomba pia nichukue nafasi hii nikutakie mipango mema na mafanikio kwenye safari yako ya kuchukua kiti cha ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…