Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Kaka alisahau katika kuorodhesha makundi yalioumizwa nasisi wavuvi niwengi sana nchi hii
 
Vyema
 
Hata hivyo kushinda chama dola Ni rahisi tu Kama utapata sapoti ya
1.nguvu ya uma
2.jumuiya ya Kimataifa

Ambayo sasa imejionesha wazi kuwa inataka Haki itendeke

Raulel Bagbo alikua Ana dola
Yahya Jamme alikua Ana dola

Lakini walitolewa kibabe na wanajeshi wkishirikiana na Umma na Jumuiya za Kimataifa.
 
Mimi nimeanza kufunga leo kutokunywa vodka yangu pendwa wala chochote mpaka Jumatano.
Mungu akubariki.
Mungu mbariki mleta uchambuzi SHANTI.
Mungu wabariki Watanzania wanaoitakia mema Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hivi kusema ukweli nani anaweza kumpa kura yake Jiwe? Yaani kwakweli sioni sababu ya kumchagua Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Naamini kwa mtu anayejua maana ya tafiti na kuzitumia kujenga hoja au kupinga hoja,hawezi kamwe kuandika "ujibiwa" badala ya "hujibiwa".
Pole kwa ukilaza na usukule.
 
Kukishinda chama dola ni ngumu sana.

Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
Huwa wanashindwa kizembe Sana pale wanapo Miss calculate.
1.Raulel Bagbo alikua Ana dola
2.yahya Jammeh alikua Ana dola
Hawa wote waliondilewa kizembe na kwa aibu Sana.
Kilichobaki Ni madhara ya Miss calculation ya mambo yao.
Hali hiyo ndo ipo Tanzania kwa Sasa.
Vyombo vya Dola viko very smart,wenyewe siku zote huwa wako upande wa wengi.
Hivyo kadri nguvu ya Umma inavyoongezeka na wao ndivyo wanavyopunguza matumizi ya nguvu.kwa maana ya kwamba wengi Wana haki.yaani kuheshimu maoni ya wengi.
Pia kaa ukijua kua pressure ya nje Sasa hivi Ni kubwa Sana.
 
Nachoweza kusema n kwamba, upinzani dawa yenu ipo pale pale.
 
hahaha ndo maaana nkakwambia umeandika rubbish, with non research! anyway here is the video

Kwanza nikushukuru kwa kuileta video hii nimeitizama yote. Msingi wa Lowassa kuwa na 18% ulikuwa political personality.

Kwa kigezo Cha politics personality twaweza walifanya utafiti na wakasema John Pombe Magufuli umaarufu wake umeporomoka.

Huyo sio Mimi Ni twaweza, wakaishia kufungiwa.

Kwa kigezo hicho hicho political personality Leo hii tukimsimasha Lissu na Lowassa bado atapata hiyo 18%?

Lowassa tukimsimasha na Magufuli atapata 18%?

Jibu Ni hapana, hivyo basi hoja yako dhaifu ya kwamba Lowassa ana watu au mvuto wa kisiasa inafia hapo.Pia Lowassa hakuwa Brand pekee iliyosababisha watu kuvutiwa na kujaa kwenye mkutano. Chadema yenyewe Ni Brand imara iliyojitosheleza na ndio maana hata Lissu anapata watu kwa wingi ule ule.

Kuondoa kwa Lowassa kungekuwa na athari chanya Lissu angekuwa Kama Membe angeishia watu wachache lakini ndio kwanza Gari linawaka.

"Politics is a game of dynamics" ukiyajua haya utaacha ushabiki, kwenye siasa za 2020 hakuna mahusiano na matukio ya 2015 . Ushahidi Ni kura za MAONI ndani ya CCM walioshinda wakati ule wameangukia pia na wamekuja wapya.

Karibu Tena tuchambue siasa.
 
Hakuna wakumzuia Lissu safari hii, mbinu zote chafu hazitafua dafu.
 
BAVICHA mmebarikiwa ujinga ndio maana nasema Wafuasi Wa lissu ni wavivu wahuni na watu wanaofikili kwa matamanio na sio uhalisia endeleeni Tutakuna 2025 Five tukimjadili Paramagamba Kabudi kumrithi Magufuli
 
Tundu Lissu - Kura tutakupa lakini Kaijage ndio hivyo tena. Atamtangaza dikteta mshindi. Watu tuko tayari kwa option hii hapa chini. Tunahitaji uongozi tu. Hii ndiyo kazi yako wewe, Maalim na Zitto. Najua Mbowe atasema tumwachie Mungu tu. Usimsikilize.
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Dah ccm Leo nimewaonea Huruma sana hakika kwa nilichokiona Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…