Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

hiv ni ukawa ipi ya 2015 ambayo haipo kwenye 'ukawa' hii ya 2020?!! ni nccr ndo haipo? ni cuf au ni udp? ni ipi. navoelewa ukawa ya 2015 ipo ndani ya cdm(haswa bara) na act(haswa zanzibar). kiukweli kabisa ukawa ya 2020 ni kamilifu na compact zaid kuliko ya 2015.

hiyo kazkazin unayoongelea kwenye ngome ya ccm ni kaskazin ipi hiyo? arusha? au moshi? au tanga? i wap hiyo ngome ya ccm kaskazini? huku kaskazinilikuwaga kidogo tanga ndiko ccm wakipumulia kwa kuwadanganya na kuwagawanya waislamu lakin mwaka huu mbona hata hiyo tanga ya ccm kwishabomoka?

Kuna mwislamu atapigia kura ccm inayowatesa mashakhe wake mahabusu miaka nenda rudi bila kosa?!!!! wewe labsa umaanishe tume na polisi wameweka ngome zaidi kaskazini kwa ajili ya kuiba kura...hapo utaeleweka.
 
Wasalaam wanabodi,

Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea...
hebu nipe line up japo ya mawaziri 5 kutoka Chadema kama wanashinda
 
hebu nipe line up japo ya mawaziri 5 kutoka CDM kama wanashinda
achilia mbali hilo unalosema kwanza hata tu serikali na bunge la sasa limeundwa kwa kiasi kikubwa na wanachadema kupitia ccm. isitoshe jpm kachukua watu kibao mtaani(waliokuwa nje ya mfumo wa serikali) kawapa madaraka kinyume cha utaratibu watu wasiojua hata basic ethics za governance!!!! pia utambue serikali siyo ccm. tatizo lenu jingine wanaccm mnafikiri(gi) eti serikali ni ccm na ccm ni serikali. hizi ni hangover za siasa za ujamaa.

unapouliza kama cdm wana watu wa kuunda serikali unamaanisga nini hasa? kwamba watanzania milion 60 hakuna wa kuunda serikal nje ya ccm? hoja yako hapa nini?
 
Utopolo kichwani, Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
 
Utopolo kichwani, Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
saga chupa mezea na maji ya bomba.
kila Mtanzania mwenye vigezo na sifa za kugombea urais kama zilivyoainishwa kwenye sheria anaweza kuwa rais. Lisu kapitishwa na Tume kuwa ametimiza vigezo hivyo na kwa hiyo anaweza kuwa rais vizur tu. intataprengenyua awe na uwezo wa kuwa rais halafu mwanasheria nguli ashindwe kwa lip hasa?!!!
 
Uwezekano wa Tundu Lissu kushinda uchaguzi upo lakini je atatangazwa kama kashinda kweli.
Kwa Zanzibar Hilo halina majadala Maalimu seif atashinda je atatangazwa au ndiyo yaleyale ya Jeche 2015.

Hadi Sasa tume ya uchaguzi ktk imeonyesha upendeleo, uonevu ktk uchaguzi... Huku Ni kuharibu uchaguzi na kuongeza chuki kwa raia...
 
Hadi Sasa tume ya uchaguzi ktk imeonyesha upendeleo, uonevu ktk uchaguzi... Huku Ni kuharibu uchaguzi na kuongeza chuki kwa raia...
Hiyo ndio strength ya CCM, huwezi tofautisha CCM na NEC
 
CCM hawakubaliani na uhalisia au wanategemea mazoea. Maana Kila mwana CCM anakuwa mkali tu Bila sababu
 
hebu nipe line up japo ya mawaziri 5 kutoka CDM kama wanashinda
MBOWE -waziri mkuu
Matiko - waziri wa Afya
Nyalandu - Mambo ya nje
Mrema -tamisemi
Mdee- ARDHI

Vipi tuongeze sauti
 
Kama msingi wa tafiti Ni personality Lowassa kwa Sasa Hana na Wala haweiz athiri chochote.
Kama msingi Ni yupo wapi mbatia na NCCR? CUF ya huku bara?

mbona kazi Ni nyepesi tu.

Unakitetea Ni sawa na mtu anayemtetea Juma Nature wa kale na Diamond wa Leo kwa kusema Juma Nature akiandaa show atajaza kuliko Mond wakati kashapoteza mvuto.

Au wema sepetu na Amisa Mobeto
Au
Mange na kigogo .

Kwenye siasa siku 2 Ni nyingi Sana sembuse miaka 5.
 
Labda wameamua kwenda naye chato na si ikulu tena akusanye kilichochake mapema
 
Ukute wkt huo hata jero huna mfukoni ndio maana akakupuuza namna hiyo
 
Kaka umechambua vyema bila upendeleo. Hongera mzee kwa kufanya utafiti makini na SWOT analysis iloyo balance mizani.
 
Hivi ni wakati gani wazungu wanakuwa wafadhili na ni wakati gani hao hao wanakuwa mabeberu?
 


Utaacha kufanya siasa za mahaba lini sasa, anyway will see who projected well, jiandae for 20% - 30%
 
Ukawa ya 2020, bwahahahahaahahaha aisee sjacheka Leo toka SKU imenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…