hiv ni ukawa ipi ya 2015 ambayo haipo kwenye 'ukawa' hii ya 2020?!! ni nccr ndo haipo? ni cuf au ni udp? ni ipi. navoelewa ukawa ya 2015 ipo ndani ya cdm(haswa bara) na act(haswa zanzibar). kiukweli kabisa ukawa ya 2020 ni kamilifu na compact zaid kuliko ya 2015.kwani wakati lowasa angombania uraisi lissu hakuwepo chadema? kuna mtu alikua anafuatilia bunge na asijui tundu lissu wa chadema?
- wacha nkuchambulie, lowasa kama lowasa ndie alieleta machafuko ccm, yeye ndo aliesababisha mpasuko, yeye ndo alienda chadema na wengine ccm wakamfuata nyuma, na yeye ndo alirudi ccm na wakina sumaye wakamfuata nyuma...
hiyo kazkazin unayoongelea kwenye ngome ya ccm ni kaskazin ipi hiyo? arusha? au moshi? au tanga? i wap hiyo ngome ya ccm kaskazini? huku kaskazinilikuwaga kidogo tanga ndiko ccm wakipumulia kwa kuwadanganya na kuwagawanya waislamu lakin mwaka huu mbona hata hiyo tanga ya ccm kwishabomoka?
Kuna mwislamu atapigia kura ccm inayowatesa mashakhe wake mahabusu miaka nenda rudi bila kosa?!!!! wewe labsa umaanishe tume na polisi wameweka ngome zaidi kaskazini kwa ajili ya kuiba kura...hapo utaeleweka.