Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

Acha upotoshaji na porojo. Mambo ya rohoni, hutambulika kwa jinsi ya rohoni.
 
Sio bahati mbaya hawa wote wamekutana Kwa Pengo..
Swali ni nani aliewaagiza waende hapo?

Huyo alieshika rimoti ni nani?
 
Nakumbuka kipindi kile anatembea na mabausna Kama ishirini[emoji2957]
Leo hii sijui Hana tena maadui
kipindi hicho alikuwa bado hajajiunga na kile kitengo Cha UVUMILIVU!
ambako rasmi alijiunga baada ya Ile video !
 
Sala ya Baba Yetu inatutaka binadamu tusameheane kama tunavyosamehewa na Mungu Meenyezi.

Ila kama Mungu Mwenyezi anasamehe, motoni, kama sehemu hiyo ipo kwa hali yoyote ile, kwa kazi gani?
 
Itoshe tu kusema kuanzia siku ya Jana Makonda siyo Bashite tena na Pengo siyo Mpumbavu tena.

Gwajima aliwatembelea rasmi ili kuwafuta Ubashite na Upumbavu waliokuwa nao kabla ya Jana.
Screenshot_20200924-064233.jpg
 
Gwajima ni kiongozi mzuri sana na imara, amefanya Jambo jema sana hiki, viongozi wangapi walitofautiana na mpaka leo hawajasameheana? Hii ni mbaya sana Kama kiongozi huwezi tengeneza njia zako. Safi sana Gwajima uko vizuri!
 
Back
Top Bottom