Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Inatisha sanaTuwe makini na Kipande cha Taulo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatisha sanaTuwe makini na Kipande cha Taulo.
unajua kuyachambua hayo Mambo ya kiroho?Acha upotoshaji na porojo. Mambo ya rohoni, hutambulika kwa jinsi ya rohoni.
Amina.......utusamehe kama tunavyowasamehe waliotukosea
Nyie watu huwa mnanifurahisha sana, kwamba bila picha huwa hamuelewi???Tupia kapicha
Ka Gwajima kanatia huruma maana muda wote ni kujichekeshachekesha tu [emoji2957]
Nakumbuka kipindi kile anatembea na mabausna Kama ishirini[emoji2957]Tapeli huyo asijishaue!
Roho anawaongoza wafanye hivyoSio bahati mbaya hawa wote wamekutana Kwa Pengo..
Swali ni nani aliewaagiza waende hapo?
Huyo alieshika rimoti ni nani?
kipindi hicho alikuwa bado hajajiunga na kile kitengo Cha UVUMILIVU!Nakumbuka kipindi kile anatembea na mabausna Kama ishirini[emoji2957]
Leo hii sijui Hana tena maadui
Kaona kuwapeleka kondoo mbinguni hailipi Bora awapeleke kondoo MarekaniKajiongeza na kujitengenezea ajira mpya nchini, political liaison or link man.
Sala ya Baba Yetu inatutaka binadamu tusameheane kama tunavyosamehewa na Mungu Meenyezi.
Motoni ni kwa wale viburi walioshindwa kuomba msamaha.Ila kama Mungu Mwenyezi anasamehe, motoni, kama sehemu hiyo ipo kwa hali yoyote ile, kwa kazi gani?