Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Haya mi si mchambuzi na kwa uelewa wangu wa kilofa naona ahadi zile zile kwa lugha tofauti
 

Attachments

  • 1441737194010.jpg
    1441737194010.jpg
    90.2 KB · Views: 114
  • 1441737213716.jpg
    1441737213716.jpg
    78.7 KB · Views: 106
  • 1441737243546.jpg
    1441737243546.jpg
    103.8 KB · Views: 92
  • 1441737259488.jpg
    1441737259488.jpg
    93.3 KB · Views: 91
​kila ninapoangalia kampeni za wagombea wa ccm iwe ubunge au urais huwa naona 60%ya sera zao ni malalamiko either juu ya maendeleo duni tuliyonayo au malalamiko dhidi ya wale wanaoitwa mafisadi na wazembe

mpaka muda huu magufuli ni waziri wa ujenzi na mjumbe wa baraza la mawaziri,Jk ni rais wa nchi hii nae analalamika,samia vile vile
swali langu ni je,kulalamika huku maana yake nini? Kwamba
A)serikali ya ccm imeshindwa Kabisa kuongoza nchi
B) ccm imechoka au imesahau kama inaongoza nchi kama vile mwenyekiti wake alivyosahau kama ni mwenyekiti wa mkutano Mkuu wa ccm

Magufuli anagombea afanye nini kilichoshindwa kufanywa na jk?mbona haelezi ccm na Jk walishindwaje na yeye atawezaje?
Je inatosha kutuambia serikali ya magufuli itafanya hiki na kile bila kutuambia serikali ya kikwete imeshindwaje?
 
wanajamvi ,serikali kwa ujumla wake iliuza viwanda na mashirika ili kujitoa katika biashara. Leo hii tunapotangaziwa kupitia viongozi wanaoomba kura kuwa nchi itakuwa ya viwanda. Nauliza akili hii wameiazima wapi wakati walijitoa kwenye biashara? viwanda vyote na mashirika ya usafirishaji yanajihusisha na kujiendesha kibiashara, tutaanzaje wakati hata maeneo yote tumeuza?
 
Ccm asili Ndo hyo,,baada ya mafisadi papa kukimbia na mengne machache kubaki wenye ccm wameanza kujitokeza
 
Ccm asili Ndo hyo,,baada ya mafisadi papa kukimbia na mengne machache kubaki wenye ccm wameanza kujitokeza
ccm ufisadi upo hadi ngazi ya shina sasa wakiondoka wote kutakuwa kweli na chama kinaitwa ccm nchi hii?
 
wanaposema maana yake ni kwamba wataweka mazingira rafiki ili wawekezaji wa nje na ndani waje kuwekeza .KWA lugha nyepesi ni kwamba sera zitakuwa rafiki kwa wakezaji iwe ubia au .vinginevyo
 
Kama ilivyokuwa KANU kule Kenya, huu ni wakati muafaka wa CCM kukaa benchi. Imeshatoka katika mioyo ya wananchi walio wengi!
 
Kwa kweli sisi watanzania ndio mana tumeitwa marofa na wapumbavu.

Kila nikimsikiliza Mangufuli anasrma sasa ni muda wa ukombozi.

Ivi anataka harukomboe kutoka wapi?kwani yeye yupo ndani ya ccm ndo walio tufikisha hapa.

Labda mtu wa ccm anieleweshe vizuri anachosema Mangufuli.
 
Km ukisoma vizuri mabango yanasema chagua magufuli sio ccm hivyo tofautisha inamana kutoka ccm kwenda mafugufuli ni ukombozi
 
Km ukisoma vizuri mabango yanasema chagua magufuli sio ccm hivyo tofautisha inamana kutoka ccm kwenda mafugufuli ni ukombozi

Bado ni ngumu kumeza mana the all systems ipo ndani ya chama cha mangufuli.
Hii ndo ile ya maisha bora kwa kila mtanzania.miaka 50 tumeshindwa ata kujitegemea kwa budget ya nchi.
 
Km ukisoma vizuri mabango yanasema chagua magufuli sio ccm hivyo tofautisha inamana kutoka ccm kwenda mafugufuli ni ukombozi

Kwani Magufuli ni mgombea binafsi..?? Tukumbuke kura yako moja ya URAISI inachagua vifuatavyo...
1. Chama anachotoka mgombea
2. Mgombea mwenza wa ugombea uraisi
3. Mgomombea wa uraisi

Ningewaelewa kama kungekuwa na kura tatu badala ya sasa kura moja inachagua hivyo vitatu ata once
 
kuna mchangiaji amejibu vizuri hapo juu , ni kwamba anatutoa kijani anatupeleka magufuli au ukawa na si vinginevyo maana kuna chama hata yeye akikitaja anajua watu hawatamuelewa:bange::bange:
 
Maana yake ni kwamba hata yeye hana imani na ccm...hahaha!
 
Nimemsikia Mara kadhaa ndugu JOHN P MAGUFULI akisema akichaguliwa atakijenga chama kwa kuwafukuza watendaji wazembe, nilichofikilia kumbe mgombea urais anajua kabisa kuwa chama chake kimebomoka na hao waliokibomoa ndio wanaomsaidia katika kampeni swali je atawezaje kumbadilisha/ kusikilizwa na boss wake?? Kingine watanzania wanataka ijengwe Tanzania mpya na c chama ambacho hakikujengwa kwa. Miaka 50 kiweze kujengwa kwa miaka 5 hizo ndoto, cjawai kukisikia chama chochote cha upinzani kikitoa Sera eti tukishinda tutakijenga chama chetu
 
Sihitaji Rais mjenga chama nahitaji Rais mjenga nchi
 
Back
Top Bottom