Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Mafisadi mnakazi sana mwaka huu magufuli ndiyo kiboko ya mafisadi.
 
Lizaboni

Nijifunze kuandikà kwani haujaelewa nn hapo. Mara nying mgombea anasema atakijenga chama Eld alisema siku moja tu kuwa atashughulikia kesi ya babu seya
 
Last edited by a moderator:
Umeme shida maji tabu kula kwa tabu maisha magumu twiga kapanda ndege mimi sijawai kapanda ata Fast Jet kwenda Zanzibar yaani CCM ni shida elimu mbovu barabara mbovu hospital hakuna madawa yaani CCM ni shidaaaa toka CCM.
 
Umeme shida maji tabu kula kwa tabu maisha magumu twiga kapanda ndege mm sijawai kapanda Ata fast jet kwenda znz yaani CCM ni shida

Twiga kupanda ndege alikwenda kutalii!!€
 

Attachments

  • 1441889794991.jpg
    1441889794991.jpg
    12 KB · Views: 174
Yaaani..
Afu mtu anatoka povu kuitetea CCM.Wengine mpaka sauti inakauka.WaTz inabidi tukapimwe afya ya akili...
 
kaka ni laana mtu mzima kuamka hasubui na kwenda kupanga foleni kuipigia kura ccm!

Wewe utekua si mzima.
 
Leo nimetua Dar ... kutoka Airport shida, kufika Kariakoo barabara zimegeuka mahandaki kinachoonekana ni chemba za maji machafu zenye kuvuja plus mapicha kibao za wagombea wa CCM ... Kariakoo inanuka... nikaenda Magomeni Mkwajuni hadi Maeneo ya Open University ... Kwa Ujumla Dar inanuka kwa Uchafu, Barabara za hovyoo ... watu wamekatishwa Tamaa kuanzia Vijijini hadi Mijini ... Hivi CCM huwa wanachaguliwa kwa sababu gani? kwanini wanaruhusiwa kuiba kura wasiuawe kama vibaka wengine? ... Itoshe kusema Mwenye kuifagilia CCM ni Zaidi ya Shetani ...
 
Umeme shida maji tabu kula kwa tabu maisha magumu twiga kapanda ndege mimi sijawai kapanda ata Fast Jet kwenda Zanzibar yaani CCM ni shida elimu mbovu barabara mbovu hospital hakuna madawa yaani CCM ni shidaaaa toka CCM.

Kuna mtu anaitwa Mr Chin nahisi na yeye alihusika kupandisha twiga ndege!! Bila kusahau magamba mengine ambayo yapo humu!!
 
Last edited by a moderator:
Hata nikirogwa siwezi kumpa Magufuli mgombea wa CCM kura yangu
 

Attachments

  • 1441890266569.jpg
    1441890266569.jpg
    48.1 KB · Views: 132
  • 1441890280239.jpg
    1441890280239.jpg
    80.7 KB · Views: 118
Ccm haikubaliki Tanzania wanalazimisha tuu .ccm ikifa maendeleo yanakuja Tanzania
 
Hamna sababu hata 1 ya kuipa kura CCM.
Haki ya CCM ni hukumu ya kifo.
 
Back
Top Bottom