Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYU NDIE KIONGOZI BORA Magufuli kupiga stop makongamano, seminahaya yanayofanyika sasa ya makongamano na semina ni marufuku katika Serikali itakayoongozwa na Magufuli.Wananchi hawapati huduma fedha zao zinatumika kwenye shughuli hizi, tunasema tutazifuta. Kuendelea kufanyika mambo haya ni ufujaji wa fedha za umma, alisema Dk. Magufuli
Amesikika Kwa Kusistiza Kuwa Ataunda Baraza Dogo La Mawaziri Lakin Hao Mawaziri Hatawafumbia Macho Eti Anayesema Mambo Yako Kwenye Mchakato Atfte Pa Kuchakatia, Nadhan Baraza Lake La Mawazir Kwa Mawazo Yangu
1. Waziri Mkuu, William Lukuvi
2. Ujenz Na Uchukuz Mwakyembe
3.Fedha , Mwigulu Nchemba
4. Utalii, Khamis Kagashek
5. Elimu Michezo Na Sanaa, Nchimbi Kwa Kuteuliwa
6. Mambo Ya Nje, Diodorus Kamala
7. Mambo Ya Ndan, Deo Kunjombe
8, Sheria Na Katiba, Migiro Kuteuliwa
9. Nishat Na Madin, Sospeter Mhuongo
10. Sayansi Mawasiliano Na Techn, Yusuph Makamba
11. Jinsia Na Watoto, Atateuliwa
12. Viwanda Kilimo Na Biashara, Atateuliwa Aliye Makin
13, Afya, Husein Mwinyi
14. Elimu Ya Juu Na Ajira, Anna Tibaijuka, Au Kigwangalla,
15.Wizara Ya Maadili Na Kushughulikia Rushwa, Makongoro Nyerere,
Spika Wa Bunge Mussa Zungu Wa Ilala, Uo Ni Mtazamo Juu Ya Baraza Dogo La Mawaziri Kumi Na Watano Tu, Na Wawajibikaji, NAWE TOA MAONI YAKO
Kikwete katika mkutano wa CCM Morogoro jana**"(NIMEWATOA MBALI,HADI KUWAFIKISHA HAPA MLIPO SIO KAZI NDOGO)."
Magufuli katika mkutano wa CCM Morogoro jana*** (MAFISADI NA MAJIZI NDIO YALIYOTUFIKISHA HAPA TULIPO.)
***Mimi sielewi hicho kilichoongelewa hapo. WanaCCM tuelewesheni.
Unavyosema ni ngumu chini ya CCM unamaanisha nini?Kumbuka yeye ndo atakuwa MWENYEKITI WA CCM,WOTE WATATAKIWA KUMSIKILIZA NA KUMFUATA YEYE.Ni ngumu chini ya ccm
Tuseme ukweli. Lowasa anafahamu ukweli kuwa hatashinda na ndiyo maana nimeona kwenye TV leo akiwa Kanisani jana jumapili akiwaomba waumini wa KKKT wamuombee sana na kwa sababu eti hakujawahi kutokea Rais wa Tanzania Mrutheli na akataja Nyerere Mkatoliki,,Mwinyi Muislam, Mkapa Mkatoliki na Kikwete Muislamu. Nilisikitika sana kwa kweli. Sikutegemea kama tumefika huko Tayari. Maana yake kashindwa sasa keshaanza kugawa watu kwa dini zao. Hatari
HUYU NDIE KIONGOZI BORA Magufuli kupiga stop makongamano, seminahaya yanayofanyika sasa ya makongamano na semina ni marufuku katika Serikali itakayoongozwa na Magufuli.Wananchi hawapati huduma fedha zao zinatumika kwenye shughuli hizi, tunasema tutazifuta. Kuendelea kufanyika mambo haya ni ufujaji wa fedha za umma, alisema Dk. Magufuli
1.Mmekuwa madarakani kwa miaka 54,mtafanya nini cha ziada na tofauti na mlivyofanya kwa miaka 54 ili kuifikiasha nchi yetu kwenye uchumi wa kati?2.Je kwa nini mhakuyafanya miaka 20 au 10 iliyoupita?3.Kama ilishindikana miaka yote hiyo,je miaka 5 ijayo itawatosha?4.Wapinzani wamekuwa kikizo kwa miaka 23,je kuna ugumu gani mkienda likizo ya miaka 5 tu halafu mkarudi tenda 2020?