nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
maghufuli ahadi zake ni hewa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo si mwanasiasa ni mtendaji
Halafu wewe siku ukirudi tanzania tunakutia nyavuni uliiba vifaa vya hospital ukakimbia siku ukija kesi yako tunaifufua.Kwa hiyo Mgombea mwenza ANavyo ahidi kujenga hospitali kubwa na ya kisasa kibamba na vifaa vya kisasa, wakati temeke, mwananymala la ilala hukuna hata sindano ni ahadi safi
laptop kwa kila mwalimu ni ahadi safi..?!
Ccm wamechanganyikiwa..alafu alianzisha chandimu kakimbia
Lowassa ana majibu ya yafuatayo;"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tu.
Ndiyo uzuri wa magufuli hataki kuahidi ahadi hewa hata kidogo ahadi hewa anazo Lowasa ambaye anaahidi mpaka kuachiwa wafungwa waliolawiti watoto.