Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli aanze na yeye mwenyewe kwanza atueleze mkakati wa kujifungulia mashtaka ya bilioni 900 hewa za penati
 
Jamaa wa HSC si alimwagiwa tindikali kipindi fulani???? :mad2::mad2:

Ndio mkuu lakini ufisadi hauishi kwa tindikali. Sasa ndio anazidi kufisadi kwa kwenda mbele, na bila kusahau siku za nyuma aliwahi kuua mtu kwa risasi maeneo ya Kariakoo lakini akatumia fedha
 
nimemsikia huyu mgombea wa CCM akijinadi kuwa atajenga viwanda , ataboresha maslahi ya wafanyakazi hivi kweli yatafanyika kweli
 
Mfumo atakao ukuta utamkwamisha kama wale walioahidi maisha bora kwa kila mtz
 
nimemsikia huyu mgombea wa CCM akijinadi kuwa atajenga viwanda , ataboresha maslahi ya wafanyakazi hivi kweli yatafanyika kweli

Na Vipi Kuhusu Huyo Mgombea Wenu Aliyewaahidi Kuwajengeeni NYUMBA Watanzania Je Huko MONDULI Maisha Ya Ndugu Zake Wamasai Yana Tofauti Gani Na Ya Wale WAKIMBIZI Wa NYARUGUSU Kwa Shida Na Tabu Wanazozipata? Mwambie Ajitahidi Kwanza Kuwasaidia Nduguze WAMASAI Wajifunze Kuoga, Kutotoa Harufu Utadhani Mzoga Wa Panya Huku Yale MASHUKA Yao Wanayopenda Kujitanda Yakiwa Yamejaa KUNGUNI Tu Na Muda Mwingine KUPE.
 
Kuboresha maslahi ya wafanyakazi ni kazi ya kila serikali. JK kafanya kazi yake na itaendelezwa na Magufuli
 
No One Is Perfect And No 1 Succeed To Accomplish All His/her Plans 100%
 
Na Vipi Kuhusu Huyo Mgombea Wenu Aliyewaahidi Kuwajengeeni NYUMBA Watanzania Je Huko MONDULI Maisha Ya Ndugu Zake Wamasai Yana Tofauti Gani Na Ya Wale WAKIMBIZI Wa NYARUGUSU Kwa Shida Na Tabu Wanazozipata? Mwambie Ajitahidi Kwanza Kuwasaidia Nduguze WAMASAI Wajifunze Kuoga, Kutotoa Harufu Utadhani Mzoga Wa Panya Huku Yale MASHUKA Yao Wanayopenda Kujitanda Yakiwa Yamejaa KUNGUNI Tu Na Muda Mwingine KUPE.

we uko upande gani? unaweza kuniambia magufuli akiwa raisi hataweza kutekeleza ahadi halizo ahidi
 
Na Vipi Kuhusu Huyo Mgombea Wenu Aliyewaahidi Kuwajengeeni NYUMBA Watanzania Je Huko MONDULI Maisha Ya Ndugu Zake Wamasai Yana Tofauti Gani Na Ya Wale WAKIMBIZI Wa NYARUGUSU Kwa Shida Na Tabu Wanazozipata? Mwambie Ajitahidi Kwanza Kuwasaidia Nduguze WAMASAI Wajifunze Kuoga, Kutotoa Harufu Utadhani Mzoga Wa Panya Huku Yale MASHUKA Yao Wanayopenda Kujitanda Yakiwa Yamejaa KUNGUNI Tu Na Muda Mwingine KUPE.
yani huyu hata asipotujengea night poa tu hata akiwa na degedege ni poa tu hata akiwa fisad ni poa hata asipotuletea maendeleo ni poa tu ndie Huyo Huyo bora yeye kuliko ccm
 
Tukumbuke Magufuli Alikua Ndan Ya Huohuo Mfumo Na Utendaji Wake Na Uwajibikaji Wake Tuliushuhudia...Simchagulii Wala Simlazishi Mtu Kumchagua Bt I Thnk We Shud Give Him That Chance
 
Kikwete kwa mdomo wake mwaka 2010 akiutubia Dar wakati wa campaign alisema nipeni kura Maji Dar yatakuwa historia lakini wapi
 
nimemsikia huyu mgombea wa CCM akijinadi kuwa atajenga viwanda , ataboresha maslahi ya wafanyakazi hivi kweli yatafanyika kweli

Kwa hali ilivyo anaweza kutoa ahadi yoyote, hata ya kutoa uhai wake!

Cha msingi, jifunze kuchekecha pumba
 
Magufuli si tu anaahidi bali anatenda

mkuu naamini magufuli ni mtendaji lakini majukumu ya kiutendaji navyo elewa yanafanywa na wazili mkuu je kama hakiwa raisi huoni suala hilo litakuwa gumu kwake kulitekeleza na ukizingatia raisi anatakiwa kuwa mwenye busara kwenye maamuzi je ni kweli suala la kuwafukuza mafanyakazi wazembe itawezekana kweli
 
Ajabu Magufuli haelezi namna atakavyolipa deni lililopo la 35 trillions! kazi kuahidi vingine!
 
Back
Top Bottom