Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu magufuli ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea katika taifa letu mafisadi watanyooka tu atasaidia sana maendeleo ya Taifa hili.Ila huyu mgombea mapadlock kwa kumwaga ahadi tu atampiku jk!
Magufuli Rais wa tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anasubiri kuapishwa.
Magufuli mwenyewe anaonekana kuchanganyikiwa eti anawaambia watu wasitake mabadiliko ya haraka. waige eti China hawakubadilisha chama lakini bado wameendelea. Inabidi Magufuli aongee lugha ya mabadiliko. eti anashangaa kwa nini tembo wanauawa! Si akamwulize CCM na kinana? Huko Arusha ndio kabisa wamejkata tama. Mwenyekiti wa ccm Longido anamwambia Mama Salma waziwazi kabisa tutachagua wabunge wa ccm lakini urais tutampa ukawa! Du!halfu agaeti yoe ynazungumzia Ukawa ni Lowasa tu!
Sorc Magazet ya leo.
Magufuli hana huo ubavu wa kushughulikia mafisadi kwani ndio waliompa hiyo nafasi na wanaompigia kampeni na wanaopanga kuiba kura kwa manufaa yake.
1: Magufuli atamfunga fisadi Mkapa aliyejimilikisha Kiwira?
2: Magufuli atathubutu kumfunga fisadi Ridhiwani mwenye hisa Tanzanite na aliyejimilikisha UDA kwa mgongo wa mtu mwingine?
3: Magufuli atathubutu kumshughulikia mwenye Home Shopping Center anayekwepa mamilioni ya kodi kila siku kwa kushirikiana na familia ya Kikwete?