Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanzania hatuhitaji kuambiwa Sera tunahitaji majibu kwa nini sukari imepanda? kwanini umasikini umekithiri? kwanini ufisadi umezidi? kwanini hatunufaiki na raslimali zetu? kwanini elimu yetu imezorota? kwanini rushwa imezidi nchini?
watanzania hatuhitaji kuambiwa Sera tunahitaji majibu kwa nini sukari imepanda? kwanini umasikini umekithiri? kwanini ufisadi umezidi? kwanini hatunufaiki na raslimali zetu? kwanini elimu yetu imezorota? kwanini rushwa imezidi nchini?
katika kile kinachowezwa kuelezwa kama jambo la kushangaza na kusikitisha wengi wanachama wengi wa ccm kila kona kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa badala ya kunadi sera zao wanamchafua lowassa.
Tangazeni sera zenu.tangazeni habari zenu kama wanavyofanya timu lowassa.miongoni mwa mambo yanayosikitisha sana ni haya:
1. Hoja ya afya. Kila mtu ameumbwa na mungu na sote tutarudi kwa mungu. Niaibu tena sana kutumia afya ya mtu kwa lengo la kumchafua.wewe unayejiona mzima leo kesho unaweza kuwa mochwari ni yule unayemuona mgonjwa akahudhuria mazishi yako huku akijikaza kwa maumivu aliyo nayo.
2. Ufisadi. Ni aibu mno. Wizi wa nchi hii haufai kusema hata magufuli kwenye kampeni anashangaa. Hela za mradi zimetolewa mradi haujaisha.dawa hospitalini hakuna phamasi zipo.tena anashangaa meno ya tembo kukamatwa uswisisi.anashangaa twiga kupanda ndege.na anaahidi kushughulikia hawa watu.je anasema nipeni ridhaa niwashughulikie.kwa maneno mengine huyu kashindwa kuwashughulikia.nani wanashughulikiwa watawala wa sasa ambao ni nani ccm.hakuna shaka yoyote tuna ccm maslahi na ccm ya watanzania.
Ndugu Watanzania, dalili ya mvua ni mawingu hivyo basi kuna kila dalili kwa zaidi ya 99% Dr Magufuli ameshashinda uchaguzi wa Tanzania kwa kishindo baada ya kufanya kampeni katika Mikoa 4 tu.
Ndugu Watanzania, naomba muorodheshe na mtaje viupambele ambavyo mnataka Rais Wetu Mchapakazi Dr Magufuli alifanyie Taifa letu Tanzania kuwa huru kutoa maoni yako, hata kama kama wewe ni peoples power toa maoni yako ya yatafanyiwa kazi kwani sisi hatubagui chama kwani HAPA ni KAZI TU.