Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Nimepita ongeza idadi ya comment.....
11223946_799952796789380_605217759625210765_n.png
 
1: SINTOWAANGUSHAAAAA😨😨

2: Naitwa John Pombe Joseph Magufuli😨😨

3: Alislema Adijaaa😨😨

4: Rais mtukufu JK tutakukumbuka milele😨😨

5: Laptop kila mwalimu😨😨

6: Viwanda kila Wilaya😨😨

7: Pesa nyingiiiii nitawapa😨😨 ( Mpanda jana )

8: Kila kijiji nitawahonga 50 mil😨😨

9: Nitawashughulikiwa mafisadi ikiwemo Bosi wangu wa sasa, na mm mwenyewe nina Kebby, na CAG kaona Ubadhirifu wa 256 BIL... pia niliuza nyumba za serikali...😨😨

10: Nitawapa mali zangu zoooote maskini, ujue nawapenda sana, baada ya kuchaguliwa😨😨

11: Wakimbizi wooote watakuwa RAIA...nikiwa Rais 😨😨

12: Wasanii wote NITAWAJALI NA KUWATAJIRISHAAA... kaeni mkao wa kulaa😨😨

👐👐👐👐👐 👆👆👆 👎👎👎👎

Total failure....!!"
 
Wana ukanda hawaendi Ikulu ..full stop
 
Nimesikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni ya CCM. Moja ya ahadi alizozitoa mgombea mwenza ccm akiwakilisha ilani ya ccm ni kuwa watagawa shs million 50 kwa kila kijiji kwa wanawake kukuza VICOBA. nilijaribu kwa haraka haraka kupitia Tanzania ina vijiji vingapi na nikakuta kwa takwimu za 2009. kulikuwa na wastani wa vijiji vinavyotambulika 10,165. nikajaribu kufanya calculations 50,000,000/= × 10,165. calculator yangu ikashindwa kunipa jumla kutokana na ukubwa wa tokeo. wanamahesabu wanisaidie. nikajiuliza pesa zote hizi? tena kwa wanawake tu wanazitoa wapi? kumbe Tz tuna pesa nyingi hivi au uwezo wa kupata fedha zote hizi sasa mbona maeneo mengi ya huduma za kijamii bado hali ni duni? mbona siku zote hizi hazikutolewa na viongozi ni hao hao?
Nikaendelea kuwaza mtu kama Mr. Polepole ambaye kwa kweli namheshimu na nilimkubali hapo mwanzo na sasa ananitia mashaka. HP anawataka wasimchague Lowasa kwa vile ni fisadi na Chadema ilimuweka kwenye list of shame. swali langu likawa kama Lowasa ni fisadi hafai na CCM inakubaliana na tuhuma za awali za Chadema dhidi ya Lowasa kuhusu ufisadi wa Lowasa, vipi kuhusu wale 10 kwenye list of shame waliobaki CCM? kwa nini issue iwe Lowasa tu? Je CCM inakubali list of shame ilikuwa sahihi au ni sahihi kwa Lowasa tu baada ya kuhamia Ukawa? Losawa amesema mwenye ushahidi apeleke mahakamani? kwanini ccm na serikali yake isimpeleke mahakamani kama ni kweli? Na je ni sahihi kuiunga mkono CCM kwa sababu fisadi mmoja kahamia Ukawa wakati kuna 10 wamebaki? HP alidai Ukawa umevunja makubaliano ya kutetea haki za wanyonge kwa kumleta Lowasa Ukawa. vipi kuhusu CCM iliyovunja mapendekezo ya katiba ya wananchi iliyopelekea uwepo wa Ukawa? Ipi issue kubwa hapa kati ya CCM kupuuza maoni ya wananchi na Lowasa kuhamia UKAWA?

Najiuliza hivi shetani mmoja akiingia mbinguni. Ni sahihi malaika wakakimbilia jehanamu?

Naendelea kutafakari katika upumbavu na ulofa wangu. Sitaki akili za kushikiwa, kwa kweli sioni jipya ccm.
 
Katika kukomesha swala lililokithiri la rushwa, CCM imetoa ahadi ya kuanzisha mahakama maalumu katika kushughulikia swala hilo , maoni yangu ni kwamba swala hilo halijafanyiwa utafiti wa kina, kwani suluhuhisho hapa si kuanzisha mahakama bali ni kuboresha mahakama zilizopo,Serikali imeshindwa kujenga nyumba za mahakimu, mahakimu wanaishi kwenye nyumba za kupanga, baadhi ya sehemu hakuna majengo ya mahakama, vyombo vya uendeshaji ikiwemo ofisi ya TAKUKURU, DPP na hata polisi Serikali haijafanikiwa kuboresha miundombinu. Sasa ikiwa mahakama zilizopo wameshindwa kuziboresha je ni sahihi kuanzisha nyingine ? ikiwa kama mabaraza ya Ardhi na Kazi mashauri yake yaliondolewa toka mhimili rasmi wa mahakama lakini mpaka leo mashauri yanakaa mda mrefu mahakamani je ni sahihi kufungua mahakama nyingine ? Je na ikiwa tutafungua mahakama maalumu kulishughulikia swala la rushwa kama suluhisho, Je CCM haioni kuwa kuna ulazima mahakama nyingine maalumu zinapaswa kufunguliwa kwa kushulikia matatizo ya madawa ya kulevya, Ujangili, Kubaka, Mauaji,na Ujambazi kwa vile nayo yameshamiri sana katika jamii yetu. Ukisoma vizuri hoja hii utatambua kuwa swala hapa ni kuboresha mahakama kimiundombinu na kimkakati na siyo kufungua mahakama nyingine
 
Wamebakiza miezi miwili ya kuinjoi magari ya Ikulu na mashangingi
 
naomba mtu mmoja humu arekodi na kuhesabu ahadi za magufuli,nahisi zitazidi za jk zile za mwaka 2010.,anaweza akajisahau akaahidi kurudisha zile nyumba alizokwiba yeye na mkapa.
 
Katika kukomesha swala lililokithiri la rushwa, CCM imetoa ahadi ya kuanzisha mahakama maalumu katika kushughulikia swala hilo , maoni yangu ni kwamba swala hilo halijafanyiwa utafiti wa kina, kwani suluhuhisho hapa si kuanzisha mahakama bali ni kuboresha mahakama zilizopo,Serikali imeshindwa kujenga nyumba za mahakimu, mahakimu wanaishi kwenye nyumba za kupanga, baadhi ya sehemu hakuna majengo ya mahakama, vyombo vya uendeshaji ikiwemo ofisi ya TAKUKURU, DPP na hata polisi Serikali haijafanikiwa kuboresha miundombinu. Sasa ikiwa mahakama zilizopo wameshindwa kuziboresha je ni sahihi kuanzisha nyingine ? ikiwa kama mabaraza ya Ardhi na Kazi mashauri yake yaliondolewa toka mhimili rasmi wa mahakama lakini mpaka leo mashauri yanakaa mda mrefu mahakamani je ni sahihi kufungua mahakama nyingine ? Je na ikiwa tutafungua mahakama maalumu kulishughulikia swala la rushwa kama suluhisho, Je CCM haioni kuwa kuna ulazima mahakama nyingine maalumu zinapaswa kufunguliwa kwa kushulikia matatizo ya madawa ya kulevya, Ujangili, Kubaka, Mauaji,na Ujambazi kwa vile nayo yameshamiri sana katika jamii yetu. Ukisoma vizuri hoja hii utatambua kuwa swala hapa ni kuboresha mahakama kimiundombinu na kimkakati na siyo kufungua mahakama nyingine

Mfa maji haachi kutapatapa ndg yangu. Ningeielewa sera hiyo kama ccm ingekomesha rushwa kwenye kura za maoni na kama watuhumiwa wa escrow wangetoswa ubunge. Ni kudanganya watanzania kama walivyodanganya mara ya kwanza waliposema mkituchagua tutawaletea maisha bora kwa kila mtanzania.
 
nilikuwa namshangaa sana magufuri jinsi anavyo shangaa eti hospitalini Hana madawa ,daah kwa nini asinge geuka nyuma akamuuliza boss wake.

gesi mafuta vyote hiyo hajavigusia???.
mikataba mibovu hajagusia???.
 
Pombe anataka kusema mahakama zilizopo hazifai kufanya kazi hii?na je majaji wakusikiliza kesi hizi watatoka nje ya nchi?kama ni wahapahapa kwann wasipelekwe kwenye mahakama za kawaida?inawezekana mfumo wa kibaguzi unaendelea?ukiiba kuku mwizi!ukiiba mali za umma FISASAD. Yagu macho na masikio,tukutane 25 DEC:bolt:
 
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma
Ni nani aliyekuwa na madeni nyuma?.
 
nilikuwa namshangaa sana magufuri jinsi anavyo shangaa eti hospitalini Hana madawa ,daah kwa nini asinge geuka nyuma akamuuliza boss wake.

gesi mafuta vyote hiyo hajavigusia???.
mikataba mibovu hajagusia???.

Ha haa. Eti anashangaa kwa nini dawa hamna
 
Magufuri hata akihaidi airbus 200 watanzania tunamwamini kwasababu hajawahi kushindwa sasa iweje hizo pesa ndogo sana kiasi hicho? unahesabu kwa mapato ya kiasi gani kwa mwezi ama unahesabu za leo za JK? bn 700 kwa mwezi? hapa tunaongelea uchumi unaokua kwa asilimia 7.5 na mapato ya bn 2 kwa mwezi
 
Magufuri hata akihaidi airbus 200 watanzania tunamwamini kwasababu hajawahi kushindwa sasa iweje hizo pesa ndogo sana kiasi hicho? unahesabu kwa mapato ya kiasi gani kwa mwezi ama unahesabu za leo za JK? bn 700 kwa mwezi? hapa tunaongelea uchumi unaokua kwa asilimia 7.5 - 8% na mapato ya bn 2 kwa mwezi
 
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma

tatizo ni kulindana na mfumo mzima wa ccm, tukishampa kura hakuna kitakachofanyika,
 
1. Kuundwa kwa Mahakama ya kushughulikia mafisadi na walarushwa nchini Tanzania

2. Ujenzi wa barabara tatu zinazouunganisha mkoa wa Katavi na mikoa mingine

3. Milioni 50 kwa kila kijiji cha Tanzania

4. Ujenzi wa barabara ya njia sita kuanzia Ubungo hadi Chalinze

5. Ujenzi wa viwanda Tanzania

MNAANDIKA LAKINI?

Tafadhalini muongeze hapa ahadi za mgombea huyu wa CCM ili akishinda tumkumbushe.
 
kila mwenye basikeli atakuwa na pikipiki,
kila mwenye nyumba 1 atakukuwa na 2
**lesgo!
 
Back
Top Bottom