Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Hana uwezo Wa kuwafanyia chochote watanzania mfupa uliowahinda Nyerere,Mwinyi,Mkapa Na Kikwete hana Ubavu Tanzania inataka Mabadiliko
 
Kwan i yeye ajui cha kuganya basi aaachane na siasa
 
awafunge mafisadi wote waliokwapua mabilioni ya escrow na pia waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa...
 
Sera za Magufuli zitakwamisha ushindi wa wagombea Ubunge CCM

Mimi naona Maghufuli ajitambui kabisa.. kuwa anagombea uraisi kupitia chama tawala kilichoongoza nchi miula yote. na yeye akiwa ni kiongozi ngazi ya uwazir ktk miula mitatu.

Lakini ukitafakari sera za maghufuli ni kama vile ameamuwa kila mtu afe na mzigo wake.. sbb hotuba zake zote zinaingelea madhaifu yanayotendeka ndani ya serikali akigusia kila idara...

1. Kalamu sana kufa kwa viwanda... ila hiyo mikoa yote ambayo viwanda vimekufa,mingi inashikiliwa na ccm.. na ni serikali hihi ambayo imeuwa viwanda.. sasa hao wabunge wa ccm walikuwa wapi miaka yote kulipigia kelele bungeni.. je serikali awamu yote ilikuwa wapi??? waziri wa viwanda utaongea nini kwa watanzania

2. Elimu bure kuanzia la kwanza mpaka kidato cha nne - hivi kwautajiri tuliokuwanao wote... nilitegemea angesema mpaka kidato cha sita bure..na hii ilikuwa sera ya chadema japo chadema ilisema elimu itakuwa bure kwa ujumla. sasa hayo mabunge ya ccm yalikuwa wapi sikuzote kulipigia kelele swala la elimu kutolewa bure...au serikali kwa ujumla. waziri waelimu ambaye ni mbunge wa ccm,kazi unayo.

3. Afya - maghufuli anawatuumu manesi na madaktari kuchochea kuzorota kwa uduma ya afya tena kwa kuwatuumu ktk uwibaji wa dawa.ktk ili nilijuwa atakwenda kuongelea mzizi wa tatizo .. kulipwa kwa deni la msd, mishahara yao kuboreshwa.. kuliko kukaa na kuwatuumu.. hii inaonyesha wazi waziri wa afya hakuwa mtendasi mzuri.. mpaka anaruhusu wizi kutendeka au na yeye ni mwizi na uwenda hata ili deni la msd ni waziri katafuna pesa zetu kwa madawa ambayo yaliuzwa wanapojua wao.

Ni mengi sana yakuandika ila na malizia kwa kusema kweli nyani haoni kundule... ufisadi uliyofanyika ktk daraja la kigamboni hajagusia,nyumba zetu alizouza kwa bei ya kutupa na kujenga nyengine kwa ghala za juu,na uku watumishi wengi wakibakiwa bila makazi, amekaa kimya.

Maghufuli unaitaji wabunge wa CCM kuongoza nchi, badilisha hotuba zako.

Bye bye.
 
Kuna laana inatembea katika ndimi za wapiga debe wa CCM.
Ishara ni mojawapo ndogo ni matusi
 
Hotuba zake zote anaahidi atapambana na watumishi wa serikali! Sijui atafanya kazi na nani!?

Hili ndo tatizo kubwa la mtu ambaye siyo kiongozi! Huyu ni mnyampara tu maana mnyampara ndo sifa zake kupambana na anaowasimamia! Kwa huyu jamaa teamwork ni zero na anataka mafanikio yote apewe yeye na siyo team! Na ndiyo maana hamna wizara aliyofanyakazi akapendwa zaidi ya kumwombea atoke wizara hiyo ili wapumue! Wakati wako na Mwakyembe Ujenzi, wafanyakazi walimpenda sana mwakyembe kwa sababu anajali wafanyakazi angalau!

Ndiyo maana watu wanasema huyu jamaa anaishia kwenye supervisor level na siyo kuw kiongozi kama Rais wa nchi! Maamuzi yake yote ni hasara tu!
 
Hata saikolojia ya kuongea na watu hana! Akihutubia anakunja uso kama anacheza kareti.
 
Intelijensia ili desa UKAWA magufuli kwa kuwa ni bingwa wa kumeza akalichukua kama lilivyo bila kujua kuwa CCM ndo wameharibu kila kitu ndani ya nchi hii na kuwa katika kura za maoni wao ndo walikuwa wanapelekana TAKUKURU kila siku ... Hadi NAPE nae alikamatwa akitoa RUSHWA ... Pole pole amemegewa za ESCROW sasa amekuwa mwehu moja kwa zote ..
Mimi naona Maghufuli ajitambui kabisa.. kuwa anagombea uraisi kupitia chama tawala kilichoongoza nchi miula yote. na yeye akiwa ni kiongozi ngazi ya uwazir ktk miula mitatu.

Lakini ukitafakari sera za maghufuli ni kama vile ameamuwa kila mtu afe na mzigo wake.. sbb hotuba zake zote zinaingelea madhaifu yanayotendeka ndani ya serikali akigusia kila idara...

1. Kalamu sana kufa kwa viwanda... ila hiyo mikoa yote ambayo viwanda vimekufa,mingi inashikiliwa na ccm.. na ni serikali hihi ambayo imeuwa viwanda.. sasa hao wabunge wa ccm walikuwa wapi miaka yote kulipigia kelele bungeni.. je serikali awamu yote ilikuwa wapi??? waziri wa viwanda utaongea nini kwa watanzania

2. Elimu bure kuanzia la kwanza mpaka kidato cha nne - hivi kwautajiri tuliokuwanao wote... nilitegemea angesema mpaka kidato cha sita bure..na hii ilikuwa sera ya chadema japo chadema ilisema elimu itakuwa bure kwa ujumla. sasa hayo mabunge ya ccm yalikuwa wapi sikuzote kulipigia kelele swala la elimu kutolewa bure...au serikali kwa ujumla. waziri waelimu ambaye ni mbunge wa ccm,kazi unayo.

3. Afya - maghufuli anawatuumu manesi na madaktari kuchochea kuzorota kwa uduma ya afya tena kwa kuwatuumu ktk uwibaji wa dawa.ktk ili nilijuwa atakwenda kuongelea mzizi wa tatizo .. kulipwa kwa deni la msd, mishahara yao kuboreshwa.. kuliko kukaa na kuwatuumu.. hii inaonyesha wazi waziri wa afya hakuwa mtendasi mzuri.. mpaka anaruhusu wizi kutendeka au na yeye ni mwizi na uwenda hata ili deni la msd ni waziri katafuna pesa zetu kwa madawa ambayo yaliuzwa wanapojua wao.

Ni mengi sana yakuandika ila na malizia kwa kusema kweli nyani haoni kundule... ufisadi uliyofanyika ktk daraja la kigamboni hajagusia,nyumba zetu alizouza kwa bei ya kutupa na kujenga nyengine kwa ghala za juu,na uku watumishi wengi wakibakiwa bila makazi, amekaa kimya.

Maghufuli unaitaji wabunge wa CCM kuongoza nchi, badilisha hotuba zako.

Bye bye.
 
Mnyapara hawezi kuwa kiongozi ndo maana hata JK ameona aibu kuongozana nae kama alivyoahidi ...
Hili ndo tatizo kubwa la mtu ambaye siyo kiongozi! Huyu ni mnyampara tu maana mnyampara ndo sifa zake kupambana na anaowasimamia! Kwa huyu jamaa teamwork ni zero na anataka mafanikio yote apewe yeye na siyo team! Na ndiyo maana hamna wizara aliyofanyakazi akapendwa zaidi ya kumwombea atoke wizara hiyo ili wapumue! Wakati wako na Mwakyembe Ujenzi, wafanyakazi walimpenda sana mwakyembe kwa sababu anajali wafanyakazi angalau!

Ndiyo maana watu wanasema huyu jamaa anaishia kwenye supervisor level na siyo kuw kiongozi kama Rais wa nchi! Maamuzi yake yote ni hasara tu!
 
Uongo nao unaisha. Walifikiri uongo utakuwepo mpya mpya tu wakuwadanganya wadanganyika? Mungu tu ndio anaweza ku-create something out of nothing. CCM now have nothing to say. Lazma wake
 
Hahah!!

Usifanye mchezo mtu mzima kudanganya watu wazima wenzako...

Lazima ushupaze kidogo uso...

Hata saikolojia ya kuongea na watu hana! Akihutubia anakunja uso kama anacheza kareti.
 
Hivi najiuliza kama Mh:Ameahidi kupambana na watendaji wazembe ambao wengi wao ndio wasimamizi wakuu katika zoezi la Uchaguzi Mkuu Je hawawezi kumuangisha?
 
Magufuli mwenyewe anaonekana kuchanganyikiwa eti anawaambia watu wasitake mabadiliko ya haraka. waige eti China hawakubadilisha chama lakini bado wameendelea. Inabidi Magufuli aongee lugha ya mabadiliko. eti anashangaa kwa nini tembo wanauawa! Si akamwulize CCM na kinana? Huko Arusha ndio kabisa wamejkata tama. Mwenyekiti wa ccm Longido anamwambia Mama Salma waziwazi kabisa tutachagua wabunge wa ccm lakini urais tutampa ukawa! Du!halfu agaeti yoe ynazungumzia Ukawa ni Lowasa tu!

Sorc Magazet ya leo.
 
Jana magufuli mwenyewe alipiga piiiiipooooz anaukubali moto kwakwel ccm ya liz I haitoboi
 
Back
Top Bottom