Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Haya magamba yakishinda tena na uchaguzi huu narudi kijijini.
 
Mkuu hizi ni porojoooo za kila kipindi cha uchaguzi. Fanya kosaaa mpe kura ujue inakula kwako!!!!! Binafsi nadhani system ya CCM ni ileile na wameshindwaa fanya hivi vitu kwa 53years , wataweza sasa kwa miujiza gani..?
 
Mgombe kiti cha Urais kupitia CCM amezidi kuniacha kinywa wazi hasa pale anapopita kila mkoa nakuaidi viwanda!Mbaya zaidi anaaidi Barabra za rami kwa kutaja kilometer kibao, swali ninani Waziri wa Ujenzi??kwa nini hakuyafanya haya wakati yeye akiwa mzimamizi wa wizara ya ujenzi??Je chama chake na serikali anayoitumikia walikuwa wapi??
Hivi watanzania waleo ni wakuwadanganya kiasi hiki??Kweli unawadanganya watu utajenga kiwanda cha korosho Mtwara na Lindi?!
 
Anacopy kwa JK sasa hivi ni muda wa kuahidi Hidi tu ili apate kura.
 
Juzi nilimsikia Lowassa akiwaambia wananchi wa Njombe kuwa UKAWA haitashindwa kuwaondolea wananchi Umasikini katika nchi yenye Uchumi wa Pamba, Korosho, Kahawa, Tumbaku, Chai, Katani, Dhahabu, Uranium, Dhahabu, Almasi, Gas, Makaa ya Mawe, Nickel, Chuma, Tanzanite, Shaba, Bahari, Maziwa, Mito, Mbuga nzuri za Wanyama, milima mirefu Duniani, .... Magufuli bila aibu akaichukua na kuwaambia wananchi maneno hayo hayo !!!! ... CCM kwa miaka 54 plus za Uhuru wa nchi hii ... Imefanya nini kwenye hizo rasilimali kwa maendeleo ya wananchi?...
 
Magufuli anatembea na Ilani ya CCM mkononi. Hayo anayosema yapo kwenye Ilani! Kila anapopita huwagawia wagombea ubunge Ilani ya chama chake. Je, upande mwingine unazungumzia Ilani zao kama ACT na CCM?
 
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma

Mnamwogopa Laigwan atawanyag'anya ofisi zenu zote na viwanja mlivyoiba
 
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma

Magufuli ndio karata pekee ambayo CCM imeona iicheze mwaka huu...

Lakini ukweli ni kuwa tabia za CCM zitaendelea kuwa zilezile...
 
Hakuna haja ya kuangalia kwa darubini kali.

Kwa hali ilivyo ya ahadi nyingi zinazotolewa na Magufuli ambazo ni zile zile za Jakaya ambazo hazitekelezwi yaonyesha kuwa Hali ni Mbaya.

Wananchi wameshashtuka dhidi ya mgombea wao kuwa ni maneno mengi na usanii ule ule.

Lowassa anawapeleka puta ccm.
 
1.Kufungua mahakama ya kushughulikia mafisadi
2.elimu bure mpaka kidato cha nne
 
4.Nashangaa hospitali hakuna dawa.Nitamaliza hili tatizo
5.Nashangaa tembo anapanda ndege na kukalu kiti.Nitadhibiti ujangili
 
Mgombea wenu hana ahadi?. Kazi kusema ya wenzenu kaa vile mmezaliwa mabarazani.
 
DSC00033.jpg
 
Back
Top Bottom