Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Mkuu ulitaka kukosea hapo kwe nyekundu, ila ukarudi kwe line so haina shida mkuu
 
Nikukumbushe kama labda umesahau...huwa PM presides over the cabinet meetings only in the absence of the president and the vice president.So you want to tell us that wakati cabinet inapitisha suala la uuzwaji wa hizo nyumba rais na makamu wake hawakuwepo?..
Pili,unataka kutuambia msimamizi wa uuzwaji huo hakuwa waziri mhusika bali alikuwa waziri mkuu?..kwa maana hiyo tuseme msimamizi wa uuzwaji huo alikuwa rais?...so kuna umuhimu gani wa kuwa na mawaziri?
Sasa kwanini nimuulize Sumaye na sio mhusika wa wizara yenyewe(Magufuli)...kwa hiyo barabara zikijengwa vizuri kwa viwango tumsifie waziri wa ujenzi au waziri mkuu?....kwahiyo yakinunuliwa mabehewa mabovu tumuulize Mwakyembe au Pinda?
Basi suala la uuzwaji wa nyumba tumuulize mkapa maana yeye ndiye aliyeamua mwenyewe....sumaye,magufuli na mawaziri wengine wa wakati huo hawakukubaliana na hilo suala!
 
Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida. Aidha katika kampeni zake ameahidi kutoa ruzuku kwa wakulima, kuanzisha vikundi mbalimbali ambavyo vitapata mikopo yebye riba nafuu.
 
Sera ya Chama ni ipi? inayo hayo unayo twambia?
 

Raisi gani anaandamana na wang'oa meno ya tembo kina KINANA. Wapiga dili sasa basi. Huyo ni wako, wa kwetu ni LOWASA tunamtaka hivyohivyo alivyo. LOWASA OYEEEEEEEEEEE!
 



Huyo raisi Wa Rehoboth

Anafaa kuwa raisi Wa chimwaga
 
'Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida"
 

Hivi kweli wewe ni binadamu mwenye uchungu na nchi yake..kabisaaaa..ukiambiwa kuwa ni kibaraka mjinga anayetaka kurudisha nyuma zaidi maendeleo ya nchi wakati nchi zingine zitasonga mbele..utasemaje au utakuja kuwaambiaje wajukuu zako baadae??..kuwa unakubali kwa moyo moja kuwaharibia maisha yao kwa kuukumbatia mfumo mbovu na dhalimu..huku watoto wao wakifaidi matunda ya nchi hii ya watanzania wote kama vile wao ni watoto wa kifalme!..upo tayari ukigundulika kama ulichangia suala hili nyeti la kitaifa upigwe mawe hadi ufe?..mwogope ndugu yangu!..usiuze nchi kwa vizawadi na hata vijisenti..hatma ya nchi hii ipo mikononi mwako! Shime tujitahidi tuwaondoe hawa wakoloni weusi!
 
Magufuli wewe ndiye rais wetu,Mungu azidi kukubariki katika majukumu yako,tunaimani kubwa na wewe.
 
Ni wazi Magufuli ndiye rais wa awamu ya tano.vigezo navihifadhi kwanza UKAWA waendelee kupiga ngumi upepo
 
Bora uwe rais mwenyewe kuliko huyo mbwa.
Kura zote ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…