MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Kuichagua CCM ni kuchagua laana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulitaka kukosea hapo kwe nyekundu, ila ukarudi kwe line so haina shida mkuuOna ushahidi huu:-
KWANZA,
Magufuli alianza kuhubiri sera ya "UMOJA NI USHINDI" na "HAPA NI KAZI TU" ghafla alipoona hailipi sasa amegeukia ya Lowassa (UKAWA) ya "MABADILIKOO"
PILI,
Aliwaanisha watanzania kuwa kamwe hatatumia usafiri wa anga ili aweze kupita na kukutana nao kijiji kwa kijiji. Alipoona Kamanda Lowassa anatumia anga na nchi kavu, naye ghafla amegeukia chopa.
TATU,
CCM ilinunua na kuzindua fulana maalum
(i.e vazi maalum la kampeni), Alipoona fasheni ya shati za Kamanda Lowassa, na yeye sasa kageukia huko.
NNE,
Alishauriwa kuwa kila mkutano atumie muda kadhaa kumshambulia Lowassa , Sumaye na UKAWA. Lakini kwa kuona Lowassa ni mtulivu, hapanic, ahubiri mtu ila sera, nayeye akahama kiasi kwamba wenzake ndani ya chama wanaanza kutoridhika.
All in all,
MABADILIKO YANAWEZA KUTOKA KOKOTE, LAKINI MABADILIKO YA KWELI YATATOKA NJE YA CCM.
Nikukumbushe kama labda umesahau...huwa PM presides over the cabinet meetings only in the absence of the president and the vice president.So you want to tell us that wakati cabinet inapitisha suala la uuzwaji wa hizo nyumba rais na makamu wake hawakuwepo?..Kweli umbumbumbu haswaaaaaa. Mwenyekiti ni Rais na Prime Minister anaweza kuchair kama mwenyekiri hayupo. Unapotoka povu kusema juu ya nyumba za serikali na hasa kama kuna maswali muulize Sumaye ndo alikuwa waziri mkuu na ndiye aliyesimamia zoezi lote la uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa waziri mkuu. Kuwa mtu mzima.
Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida. Aidha katika kampeni zake ameahidi kutoa ruzuku kwa wakulima, kuanzisha vikundi mbalimbali ambavyo vitapata mikopo yebye riba nafuu.

Magufuli wewe ndiye rais wetu,Mungu azidi kukubariki katika majukumu yako,tunaimani kubwa na wewe.
Magufuli wewe ndiye rais wetu,Mungu azidi kukubariki katika majukumu yako,tunaimani kubwa na wewe.
Unaona ugumu gani kusema Magufuli ndiye Raisi wako?Magufuli wewe ndiye rais wetu...